Wow hapo kwa shimbonyi shafo........... majaaangaa!
kapita hapa sasa hivi..... wewe umemwona?
Wanyakyusa wametisha hehehehehihihihihihuhuhuhuhh........mabaunsa huhuhuuuhuh
Hahahaaaa!! Waambie sio wote bhana kuna wachaga vi potable vya haja na pia wapo wahaya matufe kama sanamu la Michelin
hahaa huyu kama kabati ni mnyakyusa au?
Milima ya urugulu ndo tatizo
Ha ha ha mchaka
Usiwaogope bhana
Cha kushangaza baadhi ya mamiss wametoka uchagani! au ni chuki binafsi?
Watakuwa ni labda wahaya wanaoishi uchagani!!