SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,808
- Thread starter
- #101
Waluguru oyeeeeeee!!!!
hahaa huyu kama kabati ni mnyakyusa au?
Hahahahahah Mimi ni Chagga pure na nina shepu nzuri ya kispoti
Wanyakyusa Oyeeeeeee!!!!!!! Makofi tafadhali hiv kwa nini sugu asitafute Mnyakyusa tu hapo Mbeya aepukane na vurugu za Pwani!!!!
U-miss si umbo.Cha kushangaza baadhi ya mamiss wametoka uchagani! au ni chuki binafsi?
Mmeshaanza kubaguana kwa maeneoDaah ila wachaga hasa wa KIBOSHO ni kichekesho haswaaaaaa na shiiiida! yaani mvutoless