Kabila Vs Shepu (angalia Picha)

Kabila Vs Shepu (angalia Picha)

Ha ha ha ha hapo kwa Wachagga umeua mkuu!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
daah nchi hii ngumu jamani by the way hv former first lady yupo wapi siku hizi?
 
Wonders shallnever end. pia wanyakyusa amewapatia haswaa yaani kama nawaona vile walivyo full mwili ka tikiti maji daah halafu walivyo na nyodo utachoka.
 
Ndaga fijoo na kina mkude samba funika mbovu. mmetisha na mijishepu ya ajabu ajabu
 
hapo waliovunja rekodi ni wachaga na waluguru bila kusahau wanyakyusa
 
Back
Top Bottom