Mzee mmoja wa lile kabila
linalopenda pesa kuliko wali,
alipata ajali mbaya akiwa
hajitambui akapelekwa
hospitali, hatimae Mungu
akamsaidia akatoka kwenye 'coma'. Akaangalia akaangalia
akamwona mwanae wa
kwanza;
MZEE: Ambrosi
AMBROSI: Nipo baba
MZEE: Hendri HENDRI: Nipo baba
MZEE: Lilian,
LILIAN: Nipo baba
MZEE: Mama yenu yuko wapi?
MAMA: Nipo baba
MZEE: Mungu wangu wote mmesubaa hapaa,.
Kule dukani yuko
nani?