Kabila lenye utajiri ndani ya ndoa

Kabila lenye utajiri ndani ya ndoa

Tatizo wamasai wanakeketa vibaya yan wanatoa had I mashavu

Acha uongo mkuu nimetembea na wamasai zaidi ya watatu sijaona aliyekeketwa....kuna makabila yanakeketa kuliko wamasai hapahapa Tz, Nakuambia hivii..

kama hutaki stress maishani oa mmasai hawana makuu jaribu na utaniambia mwenyewe.
 
Wanaokuja mjini wanadopt mambo ya kiswahili tu na wao tayari ni waswahil kama sie.

wamasai wenyewe wenyewe ni wale ambao wapo vijijini wakiendelea na shughuli za kufuga, wale ambao wanaona mifugo ndio fahari yao, wana ng'ombe hadi 5000 ila hana nyumba. Hao ndio ninawazungumzia mim, wale watu kuishi nao hadi raha, unaweza hisi hawana dhambi, wanaishi maisha ya tofauti sana, hawana makuu na dunia hii.

Ila tu ni kwamba sehemu kubwa hawajui mapenzi ni nin, wanapandana kama wanyama tu.


Kupandana nako ni mapenzi "in their own way"
 
Wewe mvivu, ukiona shida kutunza mke ukaolewe
 
Tatizo wamasai wanakeketa vibaya yan wanatoa had I mashavu

Mmmh sina uhakika na hilo, nilishakutana na mtoto wa kimasai pale Arusha, nikamgegeda, alirusha mkojo mpaka godoro likawa ndembendembe, kesho yake wahudumu walinipiga faini, nikawapoza na sh 5,000.00, Huyu alikuwa hajakeketa!!!!!!
 
Mmmh sina uhakika na hilo, nilishakutana na mtoto wa kimasai pale Arusha, nikamgegeda, alirusha mkojo mpaka godoro likawa ndembendembe, kesho yake wahudumu walinipiga faini, nikawapoza na sh 5,000.00, Huyu alikuwa hajakeketa!!!!!!

Hahahahaha dah jf raha sana
 
Hii ni kwa wale tu wenye malengo ya kuwa mamilionea siriaz!

�������������������

Hapa nisikilizeni kwa makini sana jamani;

Kutokana na njaa niliokuwa nayo jana usiku,leo asubuhi nimeamka mapema sana nikapika ule uji wangu wa kuwekwa ukwaju,kisha nikaanza kuwaza jambo 1 la msingi sana kiuchumi.

Nikabaini kuwa,kuoa mke wa kimasai ndio njia bora sana ya kuleta utajiri kwa wanandoa na familia kwa ujumla.Kwa sababu wanawake wa kimasai hawana makuu wala complications nyingi kama wengine.

Maana'ke mkeo akiwa mmasai ukimnunulia;
-Debe 1 la shanga(kwa ajili ya urembo/mapambo),
-Zile shuka za kimasai mbili,
-Sendolzi za matairi za buku,
-Mswaki wanapiga tu wa mti (na hawahitaji dawa ya meno),
- Na wembe wa sh. 100/= wa kumnyolea kipara -

Hapo baaasi!Mwaka mzima hakuna gharama tena.

Hakuna mambo ya kununua magauni, sketi, wax, pedo, wala chupi! Na upuuzi wa kwenda kusuka/kuseti nywele salon nd'o hakuna kabisa,
ni mwendo wa kumnyoa kipara tu, tena kwa kutumia kisu !

*nimefikiria saana ya'ni.*

>>kwani sh. Ngapi?<<

Seneta_wa_mtwiz -
no longer in mtwiz//
.
&#65533;&#65533;&#65533;&#65533;&#65533;&#65533;&#65533;

Hapo kwenye blue na red bold umechanganya.
 
Back
Top Bottom