dr luv
Member
- Dec 19, 2011
- 23
- 12
Nipo na mahusiano na msichana mmoja ambay mama mchaga ila baba sio mchaga ila toka kuzaliwa hd nw amekulia uchagan ila tatizo familia yetu hata ndugu wengne wote awataki kuona mtoto yeyote anaoa mwanamke wa kichaga na tulipewa onyo toka zaman bt kumwacha huyu siwez katika wanawake wote nilowai kuwa nao huyu anajiheshimu na kujitambua ana mapepe mapepe....... Hapa nafikilia jinsi ya kuwaingia wazazi na kuwaeleza sijaona mwanamke wa kuoa zaidi ya huyu alie kulia toka kuzaliwa uchagan kiswahil chake cha kichaga chaga kabisa.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums