Kabila kikwazo

dr luv

Member
Dec 19, 2011
23
12
Nipo na mahusiano na msichana mmoja ambay mama mchaga ila baba sio mchaga ila toka kuzaliwa hd nw amekulia uchagan ila tatizo familia yetu hata ndugu wengne wote awataki kuona mtoto yeyote anaoa mwanamke wa kichaga na tulipewa onyo toka zaman bt kumwacha huyu siwez katika wanawake wote nilowai kuwa nao huyu anajiheshimu na kujitambua ana mapepe mapepe....... Hapa nafikilia jinsi ya kuwaingia wazazi na kuwaeleza sijaona mwanamke wa kuoa zaidi ya huyu alie kulia toka kuzaliwa uchagan kiswahil chake cha kichaga chaga kabisa.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Tii kiu yako bwana mdogo...anayekwenda kuishi na mke ni wewe, wala si wazazi wako...
 
Tafuta wanaokubalika kwa wazazi. vizuri kuwasikiliza wazee wetu. mchuma janga hula na wakwao.
 
Anza kulainisha mioyo yao kwanjia ya maombi,mpenzi wako akapate kibali kwa familia yako na muweze kuishi kwa amani.
 
We ni mnyakyusa nini, maana wanyakyusa piga ua ukioa mchaga utakioacha moto.
 
ukiona wanakuzingua tiamimba uwapelekee mtoto/mjukuu.den waambia kwafaida ya mtoto nilazima umwoe bimdada...
 
Katavi njo utoe ushauri huku maana wewe una experience ya hii kitu.
 
Last edited by a moderator:
Ulivyokuwa unamtongoza na kiswahili chake cha kichaga chaga hukujua wazee wako walishapiga marufuku msioe uchagani?
Au ulikuwa na nia ya kupiga na kuacha tu?
Kilichokupa nguvu ya kuendelea kumtongoza mpaka akakubali ndio hicho hicho kikupe ujasiri wa kuwaelewesha wazazi wako umuoe bint wa watu.
 
Nipo na mahusiano na msichana mmoja ambay mama mchaga ila baba sio mchaga ila toka kuzaliwa hd nw amekulia uchagan ila tatizo familia yetu hata ndugu wengne wote awataki kuona mtoto yeyote anaoa mwanamke wa kichaga na tulipewa onyo toka zaman bt kumwacha huyu siwez katika wanawake wote nilowai kuwa nao huyu anajiheshimu na kujitambua ana mapepe mapepe....... Hapa nafikilia jinsi ya kuwaingia wazazi na kuwaeleza sijaona mwanamke wa kuoa zaidi ya huyu alie kulia toka kuzaliwa uchagan kiswahil chake cha kichaga chaga kabisa.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Sjaelewa hapo penye bluu..!!
 
Sarufi au nini? Nahisi ulimaanisha kinyume chake, lakini kuondoa 'H' tu, kumebadili maana nzima ya ulichotaka kusema

Nipo na mahusiano na msichana mmoja ambay mama mchaga ila baba sio mchaga ila toka kuzaliwa hd nw amekulia uchagan ila tatizo familia yetu hata ndugu wengne wote awataki kuona mtoto yeyote anaoa mwanamke wa kichaga na tulipewa onyo toka zaman bt kumwacha huyu siwez katika wanawake wote nilowai kuwa nao huyu anajiheshimu na kujitambua ana mapepe mapepe....... Hapa nafikilia jinsi ya kuwaingia wazazi na kuwaeleza sijaona mwanamke wa kuoa zaidi ya huyu alie kulia toka kuzaliwa uchagan kiswahil chake cha kichaga chaga kabisa.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Nipo na mahusiano na msichana mmoja ambay mama mchaga ila baba sio mchaga ila toka kuzaliwa hd nw amekulia uchagan ila tatizo familia yetu hata ndugu wengne wote awataki kuona mtoto yeyote anaoa mwanamke wa kichaga na tulipewa onyo toka zaman bt kumwacha huyu siwez katika wanawake wote nilowai kuwa nao huyu anajiheshimu na kujitambua ana mapepe mapepe....... Hapa nafikilia jinsi ya kuwaingia wazazi na kuwaeleza sijaona mwanamke wa kuoa zaidi ya huyu alie kulia toka kuzaliwa uchagan kiswahil chake cha kichaga chaga kabisa.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Katavi wachumba wanamkwepa kwa sababu tu anatokea mojawapo
ya makabila ya Sumbawanga eti tu sumbawanga kunasifika kwa ushirikina.
Sasa wewe Mundu kwenu wanachowapingia wanawake wa Kichanga ni nini?
 
Back
Top Bottom