Inaonekana ni msiri kama jina lako! Na unapenda sana PM eeeenh.
Good morning, ic breakfast imetulia.
My lovely mate.
hilo liko wazi!!!!!! sasa kama mtu anakata huku anawaza business unategemea nini?
Wanaume wakichaga watamu kwenye huduma ya m-pesa
Kama una ufahamu mzuri wa JF nadhani unajua vyema sredi kama hii inatakiwa ianzishwe jukwaa gani...
Hapa ni MMU, hizi mambo zenu za kudinyana mara sijui tigo inawasha zina jukwaa lake huko huwa mnaliita sijui jukwaa la wakubwa...
Wewe kama mumeo au bwana wako hajui kukatika nenda gereji ya wachina afungwe motor labda itamsaidia.
Nina uhakika hata ukielezwa kuwa kabila fulani ndio wanaume wao wanajua kukatika haitasaidia kitu, hakuna mtu mwenye uwezo wa kubadili kabila lake.
Wanaume wakichaga watamu kwenye huduma ya m-pesa
Sina uhakika ila wanawake wengi wanalalamika kuwa wanaume wa kichagga hawajuwi kale kamchezo ka 6 X 6.
mechi ya kirafiki vipi ili nipruv
ushatujua eeh ila inategemea mtu na mtu.
Kaka usitoe hela tena ......!!!!
Hazina umuhimu wowote,mimi naona mtu akikosa cha kuandika ndo inakuwa hivi halafu anaona siku ikipta hajapost chochote kama anapungukiwa,anataka ajue wanaume wanajua mapenzi ili imsaidie nini kwani kujua mapenzi ndo kutunza ndoa? mwanaume yake majukumu hata hao wanawake anosema hawajui mapenzi amefanya research na kugundua ni asilimia ngapi ndoa zao hazijadumu? mbona hawa anaowasema wanjua kili kukicha tunasikia wameachika!Hivi hizi sredi huwa zina umuhimu gani? labda mwenzenu miye ni mshamba naomba nijibiwe...
Hayo ni mawazo yako na wala sipingani nayo ila nachojua mimi kirefu cha ccm ni Chama Cha Mapinduzi.unajua maana ya ccm lakini?..its Called for Common Mission .... sasa hebu iambie jf, nini dhumuni la chama chenu mpaka sasa!
hahahahaha kuna sehemu nikimdondokea mtu huwa anajisikia raha tu wala hawashwi.mate??? kwa kiswahili ama kiingereza? angalieni mate yenu hayo!!! huyu Washawasha ana washa mpaka kwenye mate!! teh teh!
nirudishe mpira kwa miss chagga..hahahahaha kuna sehemu nikimdondokea mtu huwa anajisikia raha tu wala hawashwi.
Nalog off
Eh he he tetetete !!!! Waombe radhi aiseee chali
Wanaume wakichaga watamu kwenye huduma ya m-pesa
Niombe radhi kwa kusema ukweli? Karibia ya wanawake wengi wanalalamikia hawa jamaa sasa hiyo radhi gani ya kulazimishana tena jamani?