kabila gani?


itasaidia sana hii katika hilo! cc imaney
 
Last edited by a moderator:
Sina uhakika ila wanawake wengi wanalalamika kuwa wanaume wa kichagga hawajuwi kale kamchezo ka 6 X 6.
 
Hivi hizi sredi huwa zina umuhimu gani? labda mwenzenu miye ni mshamba naomba nijibiwe...

Ni sred ya hovyo hovyo kabisa!
Hapo kwenye ubovu kitandani lengo lake hasa baadae ni kututaja wanyakyusa pia!

Umefanya uchunguzi upi kuandika haya?
 
Huyo aliyekwambia wanawake wa kichaga wabovu si kweli tunajua mambo .................Wanaume wa kichaga watamu sana na wanajua mambo mno wewe dont try this

mechi ya kirafiki vipi ili nipruv
 
Basi sawa kama huogopi,halafu uliposema nyoka wa kijani unamaanisha ccm au? kama ni ccm ni kweli kabisa mimi naikubali sana ccm.
Nalog off
unajua maana ya ccm lakini?..its Called for Common Mission .... sasa hebu iambie jf, nini dhumuni la chama chenu mpaka sasa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…