Mi nadhani wazungu walileta modified shanga baada ya kuona wenyeji wanavaa hizo shanga. Pia sina hakika kama wazungu waliwafundisha waafrika juu ya uvaaji wa shanga. Nalisemea hilo nikiwa mtoto miaka ya themanini nimewahi kuona vimbegu fulani vinaumbo kama njegere vinatundu katikati na vilikuwa vinavaliwa na akina bibi kwa kipindi hicho.