...Kabila Gani Waasisi Wa Shanga...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Wagogo.?
Wanyamwezi?
Wanyakyusa?
Wamasai?
Wamakonde?
Wazigua?
Wahehe?
Wasukuma?
Wanyaturu?
Wahaya???
Endelea kuyakumbuka.
 
Umesahau wimbo Wa komandoo Hamza Kalala? Wazungu ni wetu, wametuletea shanga,....
 
Umesahau wimbo Wa komandoo Hamza Kalala? Wazungu ni wetu, wametuletea shanga,....

Mi nadhani wazungu walileta modified shanga baada ya kuona wenyeji wanavaa hizo shanga. Pia sina hakika kama wazungu waliwafundisha waafrika juu ya uvaaji wa shanga. Nalisemea hilo nikiwa mtoto miaka ya themanini nimewahi kuona vimbegu fulani vinaumbo kama njegere vinatundu katikati na vilikuwa vinavaliwa na akina bibi kwa kipindi hicho.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom