Kabichi limejaa maji...

Kabichi limejaa maji...

Nikikamua litaondoka na utamu, kulichemsha ndio njia poa, ila tatizo litakuwa laini sana.
Kiepe is an option for the time being...

Cheki na Young Master ... Atakupa ushauri mzuri... Yuko fit kwa masuala jiko.. Nadhani ni mkufunzi wa hayo masuala mahali... Be it VETA or whatever...
 
Last edited by a moderator:
Lazima lijae maji kwakuwa halikutuzwa kiufundi kila siku lamwagiliwa maji hata ya ukoko. mapishi gani yatafaa kwa hilo kabichi.
 
Cheki na Young Master ... Atakupa ushauri mzuri... Yuko fit kwa masuala jiko.. Nadhani ni mkufunzi wa hayo masuala mahali... Be it VETA or whatever...

Yule sina hamu nae, kuna siku alitaja vipaji vyake hapa, nadhani vilikula karibu nusu ya thread.
Sijahatarisha afya yangu kwa kuweka rehani pishi langu. Aku?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mphamvu lol,
Nimecheka mpaka basi km vipi lianike tu litakauka hahahha!

Ooh Cantalisia baby.
You are always there for me...
Like Tim Borowski for Werder Bremen,
my passion for you is like a BundesLiga desire to Bayern's golden squad...
Your smile is like the BundesLiga trophy itself.
Your voice is so arranged as songs of Shalke 04's fans at Arena AufSchalke...
Your post gives me the illusion of black and yellow colours, of Borrusia Dortmund home kit down Westfallenstadion.
You make me so joyous, much more than Podolski's turnback at FC Köln...
With you, I will feel like Philip Lahm himself, wearing a captain badge for Deustcheland national team...
My respect to you, beats the one that Germans give the legend, Karl-Heinze Rummenige...
I love you than the Bundesliga itself.
How are you my love?
 
Last edited by a moderator:
Yule sina hamu nae, kuna siku alitaja vipaji vyake hapa, nadhani vilikula karibu nusu ya thread.
Sijahatarisha afya yangu kwa kuweka rehani pishi langu. Aku?

So,humuamini asilani! Au..
 
ha ha....ngoja nikamwite mhandisi mwenzangu tuje tutatue swala lako kihandisi....

Nyie wahandisi wa nyumbani zengwe tupu, ndio maana kampuni zenu hazipewi tenda za serikali, mpango mzima CRJE, ili nyie mzidi kuajiriwa na makampuni ya kihindi, afu family memba toka Bangalore ndo anakuwa bosi wako. LOL!
Na tenda ya kabichi siwapi sasa, hata muje mia. Sawa Mhe. Dk. Eng. Preta?
 
hiyo ndo yenyewe,inatibu hadi kansa! Loh!

Kansa nilisikia mahala kuwa tiba yake gongo (usimwambie mtu).
Hili supu la kabeji ingekuwa kijijini ningewapa kuku, sasa hapa mjini ni la kutupa.
 
Back
Top Bottom