Kabakwa nisaidien

Kabakwa nisaidien

mutahappy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
529
Reaction score
188
Salam wana JAMVI.
Nina mdogo wangu wa kike alikuwa form two,wakati wa likizo alisafiri kutoka nyumban kwenda Sumbawanga kuwasalimia ndugu.

Alikabidhiwa kwa mbaba mmoja aliekuwa na gari binafsi ili amsafirishe kutokana na yule baba kuwa mfanyabiashara huko Sumbawanga.

Huyu mbaba ni mkubwa ana familia na ni rafiki wa baba so sis ni kama watoto wake.

Mdogo wangu wa kike akiwa kwenye gari na watu wengine usiku baba mmoja kwenye gari alimbaka mdogo wangu na kumuumiza vibaya.

Dada alipoteza fahamu na alipopelekwa hospital alionekana kaumizwa vibaya na kaambukizwa HIV,na aliyembaka anatumia dozi na sasa yupo polisi.

Naomba msaada kwa anaejua tatizo kwasababu dada mpaka sasa hajielewi,anakula kwa mrija na hana fahamu kabisa japo hospital wamesema hawaon tatizo.

Plz nawasilisha kwa machozi na majonzi makubwa.
 
punguza kulia ili uandike vitu vinavyoeleweka,sasa unaomba ushauri wa maambukizo ya HIV, wa dadako kutojielewa, wa kutorudiwa fahamu au dokta kusema hawaoni tatizo.

haya malift ya family friends nayo sijui kwanini tunayaendekeza,naona hii wiki thread za family friends zimeshamiri na zina maana sana kwa wazazi wa sasa na baadae umefika wakati wazazi wapunguze huu uaminifu wa kijinga mambo ya kumkabidhi binti kwa family friend kupelekana sehemu ufike mwisho.
 
sijaelewa vyema,aliye mbaka ni nani?yule aliyekabidhiwa au abiria mwingine katika gari!!!na mazingira ya kubakwa kwenye gari walikuwa peke yao?all in all it is very sad,kwa chochote kitakacho fanyika bado sister amebaki na gonjwa japo sina uhakika kama alilipata siku hiyo,yaani ndani ya muda huo likapimwa likaonekana!!!!
 
Ina maana alibakwa na huyo mbaba kwenye gari mbele ya watu wengine akiwemo na huyo family friend? Hakupiga hata kelele kuwa anabakwa ili abiria wengine wamsaidie?
 
hii habari ina maswali mengi sana ila aliyeileta naona hayupo kuyajibu!!!
 
Tatizo jamaa ana virusi ningeshauri mkambake na nyinyi.
 
Ina maana alibakwa na huyo mbaba kwenye gari mbele ya watu wengine akiwemo na huyo family friend? Hakupiga hata kelele kuwa anabakwa ili abiria wengine wamsaidie?

waliunda njama kuanzia huyo family friend na hao abiria wengine haiwezekani mtu abakwe wao wapo,au walibakana chumbani walikodi guest house,huyu mleta mada nae katokomea kusikojulikana ili atupe connection ya matukio.
 
Ina maana alibakwa na huyo mbaba kwenye gari mbele ya watu wengine akiwemo na huyo family friend? Hakupiga hata kelele kuwa anabakwa ili abiria wengine wamsaidie?

Mtoa mada naye sijui kasepea wapi si aje atoe majibu tujue jinsi ya kichangia, mara amebakwa, hajitambui, amepimwa amekutwa HIV +ve yaani siku hiyohiyo duu kazi kweli kweli.
 
Hii habari ilinichanganya tangia mwanzo kumbe tuko wengi ambao hatukuielewa.ngoja jamaa arudi atupe maelezo vizuri
 
ina maana siku hiyo hiyo alivyobakwa,kupimwa akaonekana ameathirika?kwa uelewa wangu kama umeingiliwa na muathrika leo,siku ya 2 ukipimwa wadudu wawawezi kuonyesha.au kuna vipimo vipya ambavyo vinaonyesha haraka hivyo?iwe isiwe,kubakwa ni kitu kibaya mno na kina affect kwa aliyetendwa.pole yake
 
Habari haieleweki lakini somo hapa ni kuwa tusiamini marafiki aidha watoto /wadogo zetu siyo watoto /wadogo kwa marafiki zetu. Kaungwa alieleza jinsi bikra ilivyotolewa, inauma kwa kuwa mtu mzima mmoja anacheza na akili ya mtu mzima mwenzie ktk kihujumu mtoto mdogo.
 
ina maana siku hiyo hiyo
alivyobakwa,kupimwa akaonekana ameathirika?kwa uelewa wangu kama
umeingiliwa na muathrika leo,siku ya 2 ukipimwa wadudu wawawezi
kuonyesha.au kuna vipimo vipya ambavyo vinaonyesha haraka hivyo?iwe
isiwe,kubakwa ni kitu kibaya mno na kina affect kwa aliyetendwa.pole
yake

si nasikia kipo kipimo cha ukimwi kinachoonyesha matokeo ya two days after tendo (24hours) nyie madaktar tupen majib hapo
 
Mkomae kesi iende mahakamani na huo ushahidi muutunze wa kutoka hospital.
 
Saa zingine stori za jf hazifanyiwi risechi kama movies!

Mleta mada, poleni!
Kama alibakwa tena mbele ya mwenye gari, na akapoteza fahamu na kupelekwa hospitali. Then hospitali walipaswa wataarifu hospitali. Kama unasema kaumizwa sana, umejuaje wakati madaktari wanasema hawaoni tatizo?

Tushughulikie justice ya kubakwa. Huyo dada yetu alikuwa na hiv tayari, manake mtu napobakwa anapimwa ili kama hana hiv basi anaanzishiwa dozi maalumu kuzuia asipate maambukizi. Hajaanzishiwa kwa sababu either madaktari hawajaona tatizo (kuwa kabakwa) ama kwa sababu anayo hiv tayari na hajahitaji dozi yake.
ina maana siku hiyo hiyo alivyobakwa,kupimwa akaonekana ameathirika?kwa uelewa wangu kama umeingiliwa na muathrika leo,siku ya 2 ukipimwa wadudu wawawezi kuonyesha.au kuna vipimo vipya ambavyo vinaonyesha haraka hivyo?iwe isiwe,kubakwa ni kitu kibaya mno na kina affect kwa aliyetendwa.pole yake
 
Daaa inasikitisha sana, hapa najifunza kumlinda binti yangu. Huyu mleta thread sidhani kama anahitaji ushauri vinginevyo angeeleza kitu kinachoeleweka
 
Salam wana JAMVI.
Nina mdogo wang wa kike alikuwa form two.wakat wa likizo alisafir kutoka nyumban kwenda Sumbawanga kuwasalimia ndugu.akiwa safarin kwenye gar binafs ya mbaba mmoja aliyekabidhiwa ampeleke coz anafanya huko biashara.huyu mbaba ni mkubwa anafamilia na ni rafik wa baba so sis ni kama watoto wake.dada akiwa kwenye gar na watu wengine ucku baba mmoja kwenye gar alimbak sista na kumuumiza vibaya.dada alipoteza fahamu na alipopelekwa hospital alionekana kaumizwa vibaya na kaambukizwa HIV.na aliyembaka anatumia doz na sasa yupo polis.Naomba msaada kwa anaejua tatizo coz dada mpaka sasa hajielew,anakula kwa mrija na hana fahamu kabisa japo hospital wamesema hawaon tatizo.plz nawasilisha kwa machoz

nimemrejesha kwenye mada kwa ku like post yake. arudi ajibu maswali yote kwani hadi sasa wachangiaji wengi hawajajua anaomba msaada wa nini na mimi nikiwemo
 
Watu waliochanganyikiwa wana mambo kwelikweli, Mtu anadumbukia Jamvini, anapost mkotu kisha anatawanyika, isitoshe keshasahau kama kapost kitu..akipata mtandao tena anapost lingine Kwenye majukwaa ya wanafunzi -FB
 
Salam wana JAMVI.
Nina mdogo wang wa kike alikuwa form two.wakat wa likizo alisafir kutoka nyumban kwenda Sumbawanga kuwasalimia ndugu.akiwa safarin kwenye gar binafs ya mbaba mmoja aliyekabidhiwa ampeleke coz anafanya huko biashara.huyu mbaba ni mkubwa anafamilia na ni rafik wa baba so sis ni kama watoto wake.dada akiwa kwenye gar na watu wengine ucku baba mmoja kwenye gar alimbak sista na kumuumiza vibaya.dada alipoteza fahamu na alipopelekwa hospital alionekana kaumizwa vibaya na kaambukizwa HIV.na aliyembaka anatumia doz na sasa yupo polis.Naomba msaada kwa anaejua tatizo coz dada mpaka sasa hajielew,anakula kwa mrija na hana fahamu kabisa japo hospital wamesema hawaon tatizo.plz nawasilisha kwa machoz

Pole sana ndugu...
 
poleni sana lakini tunamaswali mengi sana ebu rudi mtoa mada ......
 
Back
Top Bottom