Kabakwa nisaidien

Kabakwa nisaidien

si nasikia kipo kipimo cha ukimwi kinachoonyesha matokeo ya two days after tendo (24hours) nyie madaktar tupen majib hapo

mimi naona kama hii story ya Kutunga flani hivi?? Wamejuaje kama mbakaji ana HIV? na anatumia DOZI???
 
UFAFANUZ.
Tukio la kubakwa ccta nimetokea december 2012 na majibu ya ccta kuwa +ve yametoka wiki mbil baada ya tukio.kuhusu kuhumizwa vibaya ktk viungo vya uzaz madactar wameshamtibu tatizo lilobak ameshindwa kurudisha fahamu yan alipolazwa ndo hapohapo.hili ndo naomba mnishaur coz hatamadactar wamekosa ufumbuz kwa vipimo vyote walivyo mfananyia.
Mazingira ya kubakwa ni kuwa kwenye gar walikuwa wanaume watatu akiwemo huyo family friend pamoja na ccta.na alibakwa na mmoja wa hao wanaume kwenye gar.hatujui alitisha na nn mpaka hakusema
 
sasa kabakwa vipi wakati gari inatembea au vipi unajua sijakuelewa story yako kama bongo movie vile,mwisho ndio unakua mwanzo
 
UFAFANUZ.
Tukio la kubakwa ccta nimetokea december 2012 na majibu ya ccta kuwa +ve yametoka wiki mbil baada ya tukio.kuhusu kuhumizwa vibaya ktk viungo vya uzaz madactar wameshamtibu tatizo lilobak ameshindwa kurudisha fahamu yan alipolazwa ndo hapohapo.hili ndo naomba mnishaur coz hatamadactar wamekosa ufumbuz kwa vipimo vyote walivyo mfananyia.
Mazingira ya kubakwa ni kuwa kwenye gar walikuwa wanaume watatu akiwemo huyo family friend pamoja na ccta.na alibakwa na mmoja wa hao wanaume kwenye gar.hatujui alitisha na nn mpaka hakusema

Jinsi ulivyoeleza kama alibakwa basi kama vile alibakwa na zaidi ya mtu mmoja. Hapa mhusika ni zaidi ya mmoja.

Pili, kwa vile ushauri unaoomba ni wa kitabibu zaidi, omba Mods wahamishie thread jukwaa la madaktari akina Riwa wanaweza kusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom