shansarie nimetokea kumpenda sana yaani anajaribu mapishi mbalimbali na ndo peke yake kwenye biriani aliuliza swali inaaonekana alikuwa makini sana kiwatengu hongeraamu naomba uje tena hapa umwelekeze wife kidogo!
Nimeona nikikuomba pale kwenye uzi wa birian ningearibu utaratibu! Tufundishe kupika kababu tafadhali..
shansarie nimetokea kumpenda sana yaani anajaribu mapishi mbalimbali na ndo peke yake kwenye biriani aliuliza swali inaaonekana alikuwa makini sana kiwatengu hongera
MAHITAJI TA KABABU
Nyama ya kusaga 1 kilo moja au nusu kilo kulingana na idadi ya watu
vitunguu swaumu na tangawizi
Curry powder au binzari
Chumvi ukitaka unaweka giligilani na tangawizi
Changanya nyama,kitunguu swaumu tangawii na chumvi pamoja
kama unataka weka pilipili ya unga au unakatakata pilipili ndogondogo unachanganya
kisha chukua mchanganyiko tengeneza donge la duara yaani unaviringisha huo mchanganyiko kupata umbo la duara ya size ya kati wengine wanapenda kuchova kwenye ute wa mayai ili madonge yashikane vizuri yasimong'onyoke wengine hawatumii.
Kisha chemsha mafuta mengi jikoni yapate moto kiasi kisha tumbukiza hayo madonge yakaange mpaka yawe ya brown kama unavyokaanga maandazi.
Ipua tayari kwa kuliwa
Hongera shansharie kababu na eggchop hazipishani sana upishi tofauti yao ni mayai ya kuchemsha kuweka katikati na eggchop zinaweka unga wa mahindi