eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 310
Baada ya kuonana bila kujikinga kwa miezi 2,yeye akaamua tukaangalie afya zetu.Majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE mimi NEGATIVE.Hakuweza amini na akasema kama nikimuacha atajiua kwani hakuna atakaemtaka tena.Mi nikamwambia siwezi muacha na sitomwambia mtu.Baada ya hapo tukawa tunatumia kinga ila simuoni kama zamani na nataka nimuache kiustaarabu.Je nifanyeje?