Kaamua kuwa na classmate wetu

Kaamua kuwa na classmate wetu

Mshitaki kwa kiranja wa darasa
 
yani kwa hasira nmezfutilia mbali

teh teh, uwa mnafuta kwenye simu ila kwenye moyo haitoki, sasa sijui ukate moyo tu, maana mimi namba za x wangu zote zipo kichwani, labda abadilishe na asinipe, ila kufuta kwenye simu unajisumbua tu. kuhusu ushauri we jiweke pembeni tu.
 
Hovyo

Kwani mkeo huyo? Na huna haki ya kumchukulia vyovyote

Yupp huru kuwa na yoyote
 
Habarin wandugu!!
Mm nkikuwa na mpenz wngu kipindi niko shule ila tuliachana baadae tkaja
kuwa na ukaribu ambao ulionekana kurudisha penz letu.cha ajabu ni kuwa
juz kati kantumia sms akiomba nmsamehe kuwa hawez kurudi kwangu ila
ameamua kuwa na aliyekuwa clac mate wetu sote.ckuumia ila nilichukia kwa
sabb ckuona haja ya yy kuwa na clac mate wetu jpo kuwa mm nae hatukuwa
tumerudiana fully.naombeni ushaur wenu nmchukulie vp huyu binti au ni
haki yke kufanya hvyo?

ivi unaanza anzaje mtu kumpenda just classment? sio sir naonaga kinyaa
 
Hivi kuna kuomba ruhusa kwa ex ya nani awe next? bora huyu amekupa taharifa...huwaga hakuna taharifa, utaisoma tu ukibahatika kukutana nayo,,,
 
Kwenye katiba mpya tutaweka kifungu cha maclasi meti kutokudeti...sawa eenh?
 
Habarin wandugu!!
Nzuri ndugu!
Mm nkikuwa na mpenz wngu kipindi niko shule ila tuliachana baadae tkaja kuwa na ukaribu ambao ulionekana kurudisha penz letu
. Sawa kama nimekuelewa kumbe uhusiano wa penzi lenu haukurudi ila ulikaribia kurudi! Nini ilikuwa sababu ya uhusiano kufa? Ebu tililika mkuu

cha ajabu ni kuwa juz kati kantumia sms akiomba nmsamehe kuwa hawez kurudi kwangu ila ameamua kuwa na aliyekuwa clac mate wetu sote.
Fafanua hapa, wewe ndio ulitaka uhusiano urudi? kama hapana kwa nini akuombe radhi?

ckuumia ila nilichukia kwa sabb ckuona haja ya yy kuwa na clac mate wetu jpo kuwa mm nae hatukuwa tumerudiana fully.naombeni ushaur wenu nmchukulie vp huyu binti au ni haki yke kufanya hvyo?
Hukuumia ila ulichukia mmh.. hapa weka wazi! ni Wivu?

Pia umedai hukuona haja ya yeye kuwa na clac mate wenu.. kwa nini uwe na maamuzi ya mtu atake kuwa nae wewe ni nani kwake mpaka sasa? Na huyu clac mate wenu unaweza kuleta kahistoria kake ili ushauri unoge!

kuanzia hapo utamchukulia poa na utaendelea na maisha yako.
 
DUUH, Mapenzi kweli yana''run'' dunia. Inaonyesha ww ni mtu mchoyo usiependa maendeleo ya wengine.
 
ndio mazingira yameshageuka sasa. furaha imegeukia pengine. Badala ya kushangaa mageuzo, angaza macho utagundua kuna furaha nyingine za kutosha zimekuzunguka
c kwamba namchagulia ila mazngira yalionesha yy kufurah zaid kurud kwangu ila alivyogeuka ndo inashangaza
 
Umekosea
siku nyingine akirudi mwekee tego kabisa...ai fall kwa class mate
 
Back
Top Bottom