Kaamua kutokuoa

Kaamua kutokuoa

Ukoo wenu nimeupenda! Yaani kamaliza chuo mwaka juzi, mshahara laki 9 (na wewe unajua. Hivi ni gross ama take home?). Na vikao vimeshaanza vya kumtaka aoe. Akioa huyu baada ya miezi mitatu mtakaa kikao kuuliza mbona mkewe hana vichefuchefu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muacheni na maisha yake....hao wazazi hawana watoto wengine wakuwaletea wajukuu hadi kwa huyo tu kwani?
 
ananifaa kuwa rafiki maana nina mawazo hayo,,,lila mtu anaruhusuwa kuchagua,,,hao viumbe toka yalonikuta stitaweza sitaweza
 
Hayo ni maisha aliochagua muacheni ndio style yake ya maisha hamuwez kujua sababu

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Hana tofauti na bro wangu,na yeye ana miaka 40 hana mke,hana mchumba na wala hana mpango wa kuwa na mwanamke maisha yake yapo fresh hela anayo kwa hiyo ni lifestyle tu ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom