Hiyo shule naifahamu, iko maeneo ya Buza, miaka fulani nami nilianzia maisha hapo nikipiga tempo kama huyo Jamaa yako. Iinamilikiwa na Mama mwenye asili ya Uganda lakini kaolewa na MTZ, hana mchezo huyo, si unajua tena Private Institution?
Sasa ukweli hapa ni kwamba kwa kuwa huyo Jamaa yako alikuwa anafanya tempory, ina maana alikuwa natafuta experience ili baadye aajiriwe sehemu hata kwenye shule za Umma, ina maana angejenga tabia na mazoea ya kutongoza wanafunzi na mwisho wake angekuja kubaka watoto wa watu.
Fundisho kwa watu wenye dhamana kama hiyo halafu wanabaki kuwinda kwenye zoo, waache kabisa kuwinda kwenye zoo au game controlled area bali waende kweye national pack kule Kinondoni makaburini.