Kaachishwa kazi kisa alimtaka dent wa kike kusex nae

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Nina rafiki yangu,anapenda kwenda uvunguni hadi aibu.Amemaliza masomo yake UDOM mwaka huu.

Kwakua maisha ya mtaani ni magumu,akaomba tempo kufundisha katika shule moja inaitwa brain trust mjini Dar.

Baada ya kukubaliwa awe anafundisha akatokea kumpenda mwanafunzi wa kike wa shule hiyo.Akamwambia amtembelee kwake kwani ana mazungumzo naye,alifanya hivyo mara nyingi bila mafanikio.

Hatimaye denti akachoshwa na tabia hiyo,ikabidi akamwambie mama na baba yake.Kwa hasira wazazi wale waliamua kwenda kuripoti kwa mkuu wa shule wakiwa na mtoto wao.

Mkuu wa shule alisikitika sana,akatoa amri mwalimu aitwe ofisini,alipofika pale akamkuta yule denti anayemtaka pamoja na wazazi wake na mwalimu mkuu pia.

Mapigo ya moyo wa yule mwalimu yalibadilika kwa mshituko.Kwa huruma za wazazi na mkuu wa shule wakaona vema wamfukuze kazi kwani hakuwa na nia ya kuwajenga wanafunzi bali kuwaharibia masomo.

Rafiki yangu alipopata nauli ameamua kurudi kijijini kwao Mtwara.
 
yeah man!...kosa la kunfukuza lipo,sababu ya kunfukuza ni ya msingi,nia pia ninaiona hapo,....ngoma droo,mwambie akalime korosho huko kijijini
 
Hiyo shule naifahamu, iko maeneo ya Buza, miaka fulani nami nilianzia maisha hapo nikipiga tempo kama huyo Jamaa yako. Iinamilikiwa na Mama mwenye asili ya Uganda lakini kaolewa na MTZ, hana mchezo huyo, si unajua tena Private Institution?

Sasa ukweli hapa ni kwamba kwa kuwa huyo Jamaa yako alikuwa anafanya tempory, ina maana alikuwa natafuta experience ili baadye aajiriwe sehemu hata kwenye shule za Umma, ina maana angejenga tabia na mazoea ya kutongoza wanafunzi na mwisho wake angekuja kubaka watoto wa watu.

Fundisho kwa watu wenye dhamana kama hiyo halafu wanabaki kuwinda kwenye zoo, waache kabisa kuwinda kwenye zoo au game controlled area bali waende kweye national pack kule Kinondoni makaburini.
 
Kwani hakuwaona wanawake wengine huko mjini mpaka huyo mwanafunzi? kiyasi chake alivyofanyiwa kama yeye angefanyiwa mwanawe sidhani kama angependa..
 
hiyo ni nzuri na wanafunzi wote wanatakiwa waige mfano wa huyo dent, siyo unakubali tu unaenda kama ng'ombe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom