Majukumu ya kazi tu mie na wife ndio yalinifanya niingie mtegoni!!ila wa aina hii humu wapo wengi saana ndugu!!Pole sana mkuu,ila unamuamini vipi mtu usie mjua?angemleta ndio umpe hela halafu ni vyema ungeenda kumfata huko bagamoyo ili kufahamu mschana anatokea wapi na wazazi au jamaa zake ungewajua hata tatizo lolote likijitokeza unajua pakuanzia,kama muda ni tatizo ungetafuta mtu aende amfate.cha msingi mshtaki tcra akamatwe liwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama ya hiko kimtu anatuharibia hata ambao tuko serious
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitake radhi mkuu, me napendaga mizigo tu, hela sio thaaaana[emoji12]Itakuwa sijui ni wewe wallahi!!maana mnafanana Avi
sio poleee mwambie poyeeeeeeeePoleeeeee
Kashasikiasio poleee mwambie poyeeeeeeee
hapana mi nilikuwa sijui ila nimeona thread nyingi za watu humu wanatapeliwa wengi sana... humu kuna mda si salama tenaKumbe ulikuwa unamjua kama ni tapeli hata kunipa taarifa miss chaga
mkuu mbona huyu jamaa kila siku anawatapeli humu ndani hamjifunzi tuu, toka mwaka juzi yupo na anakuja na gia hiyo kila siku daaaahWapendwa wanaJF,nasikitika kuwaambia kuwa suala la mdada wa kazi nililotangaza kuhitaji majuzi limenifanya nilizwe baada ya kuambiwa nitume nauli!!
Kim2 ni mwanaume ila anajifanya mwanamke,ambaye anatoa namba za mawasiliana hizi 0744-818200 na 0653-345057 ambazo ukipiga anapokea mdada anayejitambulisha kuwa anaitwa ELIZABETH na anaishi Bagamoyo,gia ya utapeli ni kujifanya Dar na Bagamoyo sio mbali hivyo ukituma kiasi kidogo hautashtukia!
Unatuma nauli then hapokei simu tena,mpaka leo hii nawatahadharisha KIM2 ambaye ana ID's nyingi humu ili kutapeli watu wengine ni TAPELI wangu namba ONE!!!
Matapeli wengine njaa kali kweli..Eti Mtu unatapeli nauli ya Bagamoyo-dar
Pole kaka,ile mbinu yangu ya kumwambia kopa ntakuja kukurudishia Mara mbili inanisaidia sana!!Wapendwa wanaJF,nasikitika kuwaambia kuwa suala la mdada wa kazi nililotangaza kuhitaji majuzi limenifanya nilizwe baada ya kuambiwa nitume nauli!!
Kim2 ni mwanaume ila anajifanya mwanamke,ambaye anatoa namba za mawasiliana hizi 0744-818200 na 0653-345057 ambazo ukipiga anapokea mdada anayejitambulisha kuwa anaitwa ELIZABETH na anaishi Bagamoyo,gia ya utapeli ni kujifanya Dar na Bagamoyo sio mbali hivyo ukituma kiasi kidogo hautashtukia!
Unatuma nauli then hapokei simu tena,mpaka leo hii nawatahadharisha KIM2 ambaye ana ID's nyingi humu ili kutapeli watu wengine ni TAPELI wangu namba ONE!!!
Aisee kweli!so wanakopaga kweli??au ndio uingia mitini?humu wapo wengi saana wapo dsm hii hii wanajifanya wako Arusha Mbulu,mara Mwanza,Mbeya!!so wanakuchanganya kwa umbali na ukaribu ili ujiingize mwenyewePole kaka,ile mbinu yangu ya kumwambia kopa ntakuja kukurudishia Mara mbili inanisaidia sana!!