...kaa chonjo..> Nimemzimia Madame B...

...kaa chonjo..> Nimemzimia Madame B...

Humu CHIT CHAT ..anaenikonga nafsi yangu ni huyu mwana Mama Madame B,natangaza nia mapema...

unaufahamu uchawi wa kongo wewe,? Jiangalie usijekuta shati linaliwa na mchwa ukiwa umelivaa mwilini, wapi Chimbuvu na kati ya bukavu
 
Last edited by a moderator:
unaufahamu uchawi wa kongo wewe,? Jiangalie usijekuta shati linaliwa na mchwa ukiwa umelivaa mwilini, wapi Chimbuvu na kati ya bukavu

Mi ndo zologwa mbabe nimezaliwa ufipani ulikozaliwa uchawi..hayo ya kongo madogo..

Makubaliano yangu na yake yatazaa nyumba yetu.
 
Last edited by a moderator:
unaufahamu uchawi wa kongo wewe,? Jiangalie usijekuta shati linaliwa na mchwa ukiwa umelivaa mwilini, wapi Chimbuvu na kati ya bukavu

Mkuu angalia vizuri hawa wanaodandia treni kwa mbele. Hakawii kusema amemzimia Mama v!
 
Last edited by a moderator:
Nami dawa hiyo naitaka bei inauzwa, ya kunasana imepitwa na wakati.

Huwezi fanya hii kitu kwa zologwa mbabe.
Nina Fisi 700,
Paka shume 1500,
Popo 150,
Mijusi kafiri 75,
Nyungo za usafiri 90,misukule 320,
Bundi wapo 450 majike,madume 20,
Popo bawa 35,
Etc
Unapowaza pambana nami chagua mapema kazi ya kufanya.
 
Back
Top Bottom