...kaa chonjo..> Nimemzimia Madame B...

...kaa chonjo..> Nimemzimia Madame B...

Huwezi fanya hii kitu kwa zologwa mbabe.
Nina Fisi 700,
Paka shume 1500,
Popo 150,
Mijusi kafiri 75,
Nyungo za usafiri 90,misukule 320,
Bundi wapo 450 majike,madume 20,
Popo bawa 35,
Etc
Unapowaza pambana nami chagua mapema kazi ya kufanya.

Kumbe bado kijana mdogo? Hivyo nlivimiliki nikiwa darasa la nne. Usithubutu kukutwa. Niko form two kwa sasa na mafunzo yanaendelea.
 
Kijana kalewa kama sio nzagamba ni mbege nafikiri alizifakamia sababu ya sikukuu na nina wasiwasi upo mtaroni sa hv.
DRINK RESPONSIBLY
 
Back
Top Bottom