Teh! Umeona sasa besti??
Ya kukimbia yapo mengi tu kulingana na mtu mwenyewe let alone the fact that unaweza mtongoza mtu ukijua/kuamini kuwa ashakuwa na mahusiano.
Hivyo basi ni dhahiri kuwa sio kila ukweli unaleta afueni!
Kwa hiyo wewe utanidanganya e!
Btw, nina mpango wa kurusha ndoana.... teh! Usije kunianika jamvini tu.. 😀
Inategemea . . . . kwani kila wanaodanganya au kusema ukweli, huwa wanacho wakiaminicho.
Hahah wanaoanikwa dagaa wabichi besti!
U know what i mean wangu!
Mbaya zaidi ukiangali mtandao wenyewe dhahiri shari unaona hapa Mmmmm!! Siyo salama. Kitu kipo wazi, vinyoleo vyote avipo.Mkuu ndo mana mi sijaoa mpk leo. Hapo ndo pengine hta tgo washaifumua, we ukigusa tu unatishiwa kupelekwa kwa paroko.
I guess I understand . . . its only you who knows it!
Aaaa bwana!
Kipipi u must know what i mean bwana, haya we nielewe tu, next time utanifaham.
Kaunga isije kuwa ndio wewe niliyekutana naye mtaani!
It cant be me, mimi na vinuka mkojo wapi na wapi? You need to be mature to impress me, halafu list yangu ni 40+ siyo hiyo sijui 6.
Simplicity Hayatuhusu kabisa. This is your private business.
Simplicity. umeyataka mwenyewe mkuu kwa kuchunguza alacho kuku.
Binti amekuwa mkweli kwako na ameorodhesha vitu kadhaa hapo ambavyo inawezekana ni mapungufu yake. Hivyo unapogundua hilo unaweza kujua namna ya kumbadilisha ama ukawa na uhakika kuhusu mahusiano yenu.
Kama unasaka bikra wa kumuoa nakuhakikishia subiri miaka 10 mingine shekhe.
Muulizeni King'asti alinikuta na wasichana wangapi kabla sijazama seriuosly kwake. Maisha ni unpredictable circle na unaweza ukadhani kuwa amekwenda mileage lakini kumbe ndo amekusanya uzoefu wa maisha utakaowasaidia mbeleni. Inawezekana kabisa huyo binti anakupenda kwa dhati ndo maana amekuwa mkweli kwako. Wengine ni mpaka uzunguuke saana kupata ukweli, ama kuishia kutokuambia ukweli hadi uchunguze mwenyewe.
Je angekudanganya kwamba hakuwahi kuwa na wanaume wengi kabla ungelitamani kumuacha?
wanaume bana! Ww c umwache? Aliyekwambia k inapimwa hivyo nani?
..k haiwezi tanuka kwa kufanya sn sex!
Somtym mnasema k kubwa cjui nn....angalia icje ukawa km km wale wa kibamia!!?full vicngizio