storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,544
- 1,874
Pole sana,lakini kwa vile huyo rafiki yako hukumpata tena mpaka leo inaweza kuwa alifikwa na matatizo huko,ulimuulizia kwao kama yupo ni mzima na hakufikwa na balaa lolote? Kama yupo hai muombe akulipe polepole tu,coz mmetoka mbali toka Primary mpaka Secondary,pengine tamaa tu ya kibinadamu ilimuingia na sasa anaona aibu kukutafuta.Mumenitonesha kidonda changu jaman, mwaka jana nilipigwa 800,000 na rafiki yng ambaye tulisoma kuanzia primary school mpaka secondary. Jamaa alikua kama ndugu kabisa ata nyumbani wanamjua vizur na mm pia nafahamika kwao.
Siku ya tukio alinipigia cm kua kuna jamaa anafanya kazi bandarini anauza laptop aina ya Toshiba.
Nikamuuliza bei gan na ziko ngap?, ananiambia ziko tatu bei ni 1500000 yaan kila moja 50000.nikamwambia mshushe kidogo angalau laki 4 nichukue mbili. Fasta akajibu amekubali.
Nilikua na 930000 tigo pesa nikamtumia 830000 atoe na yy abaki ya kunywa ata soda.
Kidogo ananipigia cm ananiambia jamaa amenipata zote 3 anasema anakusubir tafuta iyo ya moja ata kesho utume uchukue zote.
Nikamwambia nipeni izo zangu sina hela nyingine loh tangu apo sikumpata tena ad leo
pole sana jeffersonMumenitonesha kidonda changu jaman, mwaka jana nilipigwa 800,000 na rafiki yng ambaye tulisoma kuanzia primary school mpaka secondary. Jamaa alikua kama ndugu kabisa ata nyumbani wanamjua vizur na mm pia nafahamika kwao.
Siku ya tukio alinipigia cm kua kuna jamaa anafanya kazi bandarini anauza laptop aina ya Toshiba.
Nikamuuliza bei gan na ziko ngap?, ananiambia ziko tatu bei ni 1500000 yaan kila moja 50000.nikamwambia mshushe kidogo angalau laki 4 nichukue mbili. Fasta akajibu amekubali.
Nilikua na 930000 tigo pesa nikamtumia 830000 atoe na yy abaki ya kunywa ata soda.
Kidogo ananipigia cm ananiambia jamaa amenipata zote 3 anasema anakusubir tafuta iyo ya moja ata kesho utume uchukue zote.
Nikamwambia nipeni izo zangu sina hela nyingine loh tangu apo sikumpata tena ad leo
Hii yako imenichekesha sana MkuuMimi ubungo niko narudi arusha, nikanunua magazeti nikiwa ndani ya basi, muuzaji yuko chini nikacheck headings nikanunua magazeti 3,basi limeondoka nakuja kuyacheki kumbe ya mwaka 2002 hapo ilikua mwaka 2004
Ni mzima na hana shida nilienda mpaka mkoa kwa mamake nilimwelezea , hawezi amin mama yake alidondosha mchozi na aliomba anilipe kidogo kidogo.Pole sana,lakini kwa vile huyo rafiki yako hukumpata tena mpaka leo inaweza kuwa alifikwa na matatizo huko,ulimuulizia kwao kama yupo ni mzima na hakufikwa na balaa lolote? Kama yupo hai muombe akulipe polepole tu,coz mmetoka mbali toka Primary mpaka Secondary,pengine tamaa tu ya kibinadamu ilimuingia na sasa anaona aibu kukutafuta.
Ukweli nilipata somo kupitia uyu jamaa sikuwai kuwaza kua uhusiano wetu ungekufa kwa style hii. Familia zetu ziliungana kwa sababu ya urafiki wetu, sasaiv nakua makini na kila aliye karibu yang na simwamin mtu yoyote.pole sana jefferson
Daaah pole sana mdauMatapeli wabaya sana. Mii tangu niingizwe mjini na shemeji yenu, nimeapa sisomeshi mchumba!
Hahaha ilikuwa ni aibu tu mkuuHii yako imenichekesha sana Mkuu
Mimi nakumbuka nilipigwa hadi nikajiona fala maana nilikutana na hao wajanja mitaa ya msimbazi wana bonge moja la simu nikawapa 20000 then wakanambia tumeipiga hapa hapa....Basi mie fasta nikawahi kwenye daladala ,,, sasa nifungue tule tubahasha nakuta soap ikabidi nipunguze presha ili nisishtukiwe na abiria wengine ilikuwa 2004 lakini hamna shida ntakutananao akheraHahaha ilikuwa ni aibu tu mkuu
Mmeibiwa wengi!!Daah wale watakua na dawa aisee si bure. Mi pia walishanipiga hao. Walilamba 20,000 yangu hivi hivi plus kasim kangu fulan kabovu bovu hivi nikajua hapa nimewabambika. Kufika mbele kufungua sabuni yangu ya kipande safi kabisa nimefungiwa vizuri.....daah sabuni ya 100 nikauziwa 20,000. Belive me toka ijumaa april 20 2012 leo ndo nimekitoa hadharani hiki kitu.....kilibakia kuwa siri siku zote hizo.