Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,739
- 3,163
Nafahamu vizuri sana ila nimezungumzia kwenye kipaumbele cha vyeo,ya kwamba hata kdt cha 6 huwa 'wanakula jiwe'(being commissioned).Yaelekea uliingia kwenye comma mwaka 1990 ndio unazinduka mkuu. Siku hizi kuna Masters JKT (sio JW) na zina ndoto ya angalau kozi za awali ya JW achilia mbali kamisheni.