Borat69
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,522
- 1,757
JWTZ imetoa ufafanuzi juu ya mavazi ya Kijeshi aliyovaa Amiri Jeshi Mkuu Mh. John Pombe Magufuli. Msemaji Mkuu wa JWTZ Kanali Ngemela Lubinga alieleza ya kuwa Mh. Rais alikuwa sahihi kuvaa mavazi Yale katika siku ile kwa kuwa alikuwa anaenda kwenye shughuli za Kijeshi. Na pale aliposimama kuongea na Wananchi haikuwa kwenye ratiba ya Mh. Rais, bali Wananchi walifunga barabara na kuomba Rais awasalimie.
My Take: Tuacheni SIASA ndugu zangu. Uchaguzi UMEKWISHA na sasa ni muda wa kazi.
Source : ITV
My Take: Tuacheni SIASA ndugu zangu. Uchaguzi UMEKWISHA na sasa ni muda wa kazi.
Source : ITV