JWTZ wavamia kituo cha FFU na kukisambaratisha

1. Kituo cha polisi FFU sijawahi kukiona Tanzania hii.

2. Tukio kama hilo lingetokea kama linavyotanabaishwa kwa hakika kusingehitajika kumpigia kamanda simu. Ingekuwa ni vita

3. Askari wa FFU wanaishi kambini...WOTE...or tuseme wanatakiwa wote waishi kambini (hivyo kiuhalisia zaidi ya 80% yao wanaishi kambini)...sasa hao JWTZ wa kwenda kuanzisha vita kambi ya FFU aisee. sijui...labda waende battalion na silaha za nguvu tena si hivi hivi.

4. Sipendi vita kati ya vyombo vya ulinzi na usalama. Natumai hii habari ni rumor tu. au ni ugomvi wa maaskari wawili tu na sio chuki baina ya wengi.
pale kwa mrombo kuna kambi ya ffu, hizi habari za ffu na jwtz si ngeni kuzisikia hapo arusha, maana wiki chache zilizopita kuna mwanajeshi mmoja wa jwtz aliuwawa na ffu kwa kupigwa risasi ikidaiwa kwamba mwanajeshi huyo alikuwa na ugomvi na ffu, ndipo ikatokea tukio la kuuwa kwa mwanajeshi huyo. inawezekana sasa ni ile hali ya hawa jamaa ya kulipiza kisasi.
 
Usimfokee reporter wetu! Hv wewe haujui hapa ni Jf ? Inatakiwa itowe habari moto moto kabla ya chombo kingine chochote cha habari hapa nchini.
Wewe ulipata habari hii ukaweka mfukoni ya nini?
Tunashukuru reporter wetu Mwiba kwa habari hii wengine tupo nje ya mkoa maana isingetupita.

reporter acha uongo habari iko ivi askari wa jwtz wakiwa watano walipanda daladala kutoka mjini KWA mrombo.askari wa jwtz walikuwa wamevaa kiraia dona wa daladala kudai kwa watu watano akapewa tsh.500 Badala ya 2000. mzozo ukawa mkubwa sana kumbe kulikuwa na askari wa FFU kwenye hiyo daladala huyu askari wa FFU akamwamuru dereva apeleke GARI kambini FFU KWA mrombo baada ya kufika wale askari WA jwtz wakalipishwa nauli.nakuachiwa kesho yake ambayo ni Jana wale askari watano jwtz walirudi kwalengo la kuvamia mwisho wa siku askari wawili wa jwtz walikamatwa na watatu mpaka sasa hawajulikani walipo kambini kwao orijolo hawajaonekana.hii ndio habari acha kupotosha umma
:
 
Last edited by a moderator:

Hata nami nimeshawahi kusikia kwa mbali tetesi hizi.
 
....

.....!!!!! ????????

attachment.php
 
FFU kama polisi tu hawana lolote ni raia kama sisi sema wao tu ni raia wakakamavu. Hawawezi kupambana na JW. Wapigwe tu maana hamnaga akili nyinyi inawezekana na ww ni FFU

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hakuna mwanajeshi wa Kawaida mwenye akili timamu anayeweza kuvamia Kambi ya FFU.Ni Makomandoo tu ndio wenye uwezo huo lakini hawa wengine lazima wachezee Kichapo.FFU wanafanya Mazoezi ya kupiga wafanya fujo kila siku.Zamani tulikuwa tunawaita Fanya Fujo Uone-FFU.
 
Unazungumzia hawa hapa au???????

attachment.php

Naona kama haujanielewa jamaa yangu, mimi naongelea JWTZ na siyo hao M23 uliowaweka hapo juu.Na ukitaka ujue vizuri mziki wa JWTZ waulize hao M23 waliokalishwa hapo chini.
 
1. Kituo cha polisi FFU sijawahi kukiona Tanzania hii.

2. Tukio kama hilo lingetokea kama linavyotanabaishwa kwa hakika kusingehitajika kumpigia kamanda simu. Ingekuwa ni vita

3. Askari wa FFU wanaishi kambini...WOTE...or tuseme wanatakiwa wote waishi kambini (hivyo kiuhalisia zaidi ya 80% yao wanaishi kambini)...sasa hao JWTZ wa kwenda kuanzisha vita kambi ya FFU aisee. sijui...labda waende battalion na silaha za nguvu tena si hivi hivi.

4. Sipendi vita kati ya vyombo vya ulinzi na usalama. Natumai hii habari ni rumor tu. au ni ugomvi wa maaskari wawili tu na sio chuki baina ya wengi.
kambi ya ffu mbeya iko jirani na kituo cha daladala cha sinde jirani na idara ya maji kwa nyuma pale kabla hujafika mbeya day so vituo vya ffu vipo vingi labda unakoishi wewe ndo hamna
 
Labda mmepishana kidogo FFU wanakambi na ofisi zao za utawala hawana "kituo" kama vile vingine vya General Duty or Traffic etc kwamba mtu anaweza kwenda kufungua case na vitu kama hivyo
 
reporter acha uongo habari iko ivi askari wa jwtz wakiwa watano walipanda daladala kutoka mjini KWA mrombo.askari wa jwtz walikuwa wamevaa kiraia dona wa daladala kudai kwa watu watano akapewa tsh.500 Badala ya 2000. mzozo ukawa mkubwa sana kumbe kulikuwa na askari wa FFU kwenye hiyo daladala huyu askari wa FFU akamwamuru dereva apeleke GARI kambini FFU KWA mrombo baada ya kufika wale askari WA jwtz wakalipishwa nauli.nakuachiwa kesho yake ambayo ni Jana wale askari watano jwtz walirudi kwalengo la kuvamia mwisho wa siku askari wawili wa jwtz walikamatwa na watatu mpaka sasa hawajulikani walipo kambini kwao orijolo hawajaonekana.hii ndio habari acha kupotosha umma
:

mkuu unaweza ukawa upo sawa but hata kabla ya hilo kuna tukio liliwah kutoke nadhan mwez wa kwanza au pili kama sijakosea kwa polisi maeneo ya kwamrombo kumuua askar wa jwtz mkufunzi wa kikosi oljoro jkt na kusababisha bifu la chinichini kati ya polis na jwtz.mpaka mkuu wa mkoa alipoingilia hili swala
 
kambi ya ffu mbeya iko jirani na kituo cha daladala cha sinde jirani na idara ya maji kwa nyuma pale kabla hujafika mbeya day so vituo vya ffu vipo vingi labda unakoishi wewe ndo hamna

kaka ituovya polisi FFU vipo kila mkoa wanakua nacho kimoja na kinakua isolated mimi mwenywe nimevishuhudia sana

Nyie watu mnajua tofauti ya kambi na kituo!???????????????/
 
Usimfokee reporter wetu! Hv wewe haujui hapa ni Jf ? Inatakiwa itowe habari moto moto kabla ya chombo kingine chochote cha habari hapa nchini.
Wewe ulipata habari hii ukaweka mfukoni ya nini?
Tunashukuru reporter wetu Mwiba kwa habari hii wengine tupo nje ya mkoa maana isingetupita.

Reporter amelipoti kishabiki zaidi kaka...Tukio hili lilianzia kwenye daladala tena hao sio JWTZ bali ni JKT waliomaliza mafunzo wiki mbili zilizopita ndio waliofanya huo Ujinga wakuvamia Kambi ya FFU wakiwa hawana silaha yoyote..!Jamaa yangu aliepale FFU ameniambia busara za mkuu wao ndio zilizoepusha Mauaji makubwa ambayo yangetokea siku hiyo kwani askari wa FFU wakiwa standby na silaha zao walikuwa wanasubili AMRI ya bosi wao Ili waanze kazi lkn akawasii wasitumie risasi ya MOTO lkn wawakamate ndio wakafanikiwa kuwakamata hao wawili pichani hapo Juu nakuwatembezea kichapo cha hatari...Pita kambi ya FFU oljolo utaamini kuwa JWTZ na FFU hawana tatizo lakimahusiano ndio maana JWTZ wanapaki magari yao kwenye kambi ya FFU na askari wa FFU ndio wanayalinda..!
 
Mnachoshindwa kuelewana nikwamba hakuna KITUO CHA POLISI FFU bali kuna kambi za FFU kila mkoa kasoro mikoa michache mipya!
 
Hakuna mwanajeshi wa Kawaida mwenye akili timamu anayeweza kuvamia Kambi ya FFU.Ni Makomandoo tu ndio wenye uwezo huo lakini hawa wengine lazima wachezee Kichapo.FFU wanafanya Mazoezi ya kupiga wafanya fujo kila siku.Zamani tulikuwa tunawaita Fanya Fujo Uone-FFU.

Kweli kaka walikuwa ni vijana wa JKT waliomaliza kalibuni..!
 
Usimfokee reporter wetu! Hv wewe haujui hapa ni Jf ? Inatakiwa itowe habari moto moto kabla ya chombo kingine chochote cha habari hapa nchini.
Wewe ulipata habari hii ukaweka mfukoni ya nini?
Tunashukuru reporter wetu Mwiba kwa habari hii wengine tupo nje ya mkoa maana isingetupita.

Reporter amelipoti kishabiki zaidi kaka...Tukio hili lilianzia kwenye daladala tena hao sio JWTZ bali ni JKT waliomaliza mafunzo wiki mbili zilizopita ndio waliofanya huo Ujinga wakuvamia Kambi ya FFU wakiwa hawana silaha yoyote..!Jamaa yangu aliepale FFU ameniambia busara za mkuu wao ndio zilizoepusha Mauaji makubwa ambayo yangetokea siku hiyo kwani askari wa FFU wakiwa standby na silaha zao walikuwa wanasubili AMRI ya bosi wao Ili waanze kazi lkn akawasii wasitumie risasi ya MOTO lkn wawakamate ndio wakafanikiwa kuwakamata hao wawili pichani hapo Juu nakuwatembezea kichapo cha hatari...Pita kambi ya FFU oljolo utaamini kuwa JWTZ na FFU hawana tatizo lakimahusiano ndio maana JWTZ wanapaki magari yao kwenye kambi ya FFU na askari wa FFU ndio wanayalinda..!
 
Je, na wewe unawafahamu vizuri binadamu wanaoitwa JWTZ au huwa unawaona tu kwenye sherehe za muungano??????????????????????????????????????????????????????????????.
Unawaongelea JWTZ hawa walionunuliwa Madude mapya ya kuchezea Game za kivita halafu wanakija kuwaonyesha wananchi kwenye sherehe za luungano kuwa 'dolidolu baba katununulia Game mpya za kivita?
Mtu kwa mtu JWTZ hawawezi kusimama mbele ya FFU, labda MPs lakini siyo hawa mnaowashabikia, watu huwa wanaheshimu magwanda, basi wenyewe wanajiona ndiyo kila kitu.
 
kambi ya ffu mbeya iko jirani na kituo cha daladala cha sinde jirani na idara ya maji kwa nyuma pale kabla hujafika mbeya day so vituo vya ffu vipo vingi labda unakoishi wewe ndo hamna
FFU hawana vituo, Wao wana kambi na humo ndimo wanamoishi.
 
Nyie watu mnajua tofauti ya kambi na kituo!???????????????/

it doesn't make any difference whether in kambi au kituo hoja ya mtoa mada itakua haijaathirika kabisa kwani ni suala la JWTZ kuvamia Pouch ya FFU. Ni sawa na kumuonya mtu kwamba tukivamia mzinga wa na nyuki au walio kwenye gome la mtii kuta -add value yoyote katika kukokotoa risks ambazo zinahusika kuchagua ni wapi pa kuvamia. Au tuseme wewe kama raia unaangalia unafuu kwa either kuvamia kituo cha FFU au Kambi ya FFU unafuu wako utakua wapi? hiyo itakua haina maana yoyote kuangalia wapi ambapo utakua umepunguza chochote kwa yatakayokukuta? so hoja ya mleta maada haijaathirika kabisa ni kwamba JWTZ wawavavima FFU.
 
Back
Top Bottom