strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,313
Kwa hiyo mmbwa kala mmbwa
29th April 2014
Kundi la wanajeshi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanadaiwa wamevamia kituo cha Polisi wa Kutuliza Ghasia (FFU) kilichopo Kwa Mrombo na wanadaiwa kutembeza mkongoto kwa askari kadhaa.
Baadhi ya wanajeshi wanadaiwa kukamatwa, ingawa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alipotakiwa na NIPASHE kuzungumzia tukio hilo alikanusha.
Hakuna tukio kama hilo, wewe uliona wapi watu wa serikali wanapigana, alihoji Kamanda Sabas na kuongeza: Sisi tulikuwa kwenye vikao vyetu vya kawaida.
Hata hivyo, msemaji wa JWTZ, Luteni Kanali Eric Komba, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumza na NIPASHE kwa njia ya simu jana jioni.
Hata hivyo, alisema polisi na JWTZ wanafanya uchunguzi wa tukio hilo na taarifa zikishawasilishwa makao makuu watatoa taarifa.
Lakini baadhi ya watu walioshuhudia tukio hilo walisema tukio hilo lilitokea majira ya saa tano au sita asubuhi jana, baada ya wanajeshi kuvamia kituo hicho kwa nyakati tofauti.
Inadaiwa wanajeshi hao walikuwa kati ya 50 hadi 60 hivi na haikufahamika mara moja walikuwa wametokea kambi gani ingawa baadhi ya watu walidai walitokea Monduli.
Shuhuda mwingine alisema aliwaona wanajeshi wanne wakiingia kwenye lango kuu la kuingilia kituo hapo na kutembeza kichapo kwa askari aliyekuwapo.
Hata hivyo, habari zingine zinasema hakuna polisi aliyepigwa na hakuna mwanajeshi aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo.
Baadhi ya wakazi jirani na eneo hilo walisema waliwaona kundi la wanajeshi wakiwa katika eneo hilo na wengine wakikimbilia kwenye mashamba.
Habaari haina uhalisiaa, haijathibitishwa wala hakuna aliyekamatwa, sasa si muonyeshe picha ya aliyekula kisago.29th April 2014

FFU kama polisi tu hawana lolote ni raia kama sisi sema wao tu ni raia wakakamavu. Hawawezi kupambana na JW. Wapigwe tu maana hamnaga akili nyinyi inawezekana na ww ni FFUNgumu sana kwa soja wa Ghasia kuvamiwa kambini na kula kichapo kirahisi hivyo, FFU ni miongoni mwa askari wanapenda mapambano ya Close quater battle za mikono na virungu. Then ni rahisi kikundi cha makomandoo kufanya hivyo ila si askari wa kawaida JWTZ!! Nyie FFU na KM cha magereza waacheni wale watu wana roho mbaaya na ngumu.
Kuna afande mmoja alikuwa anasema wana principle moja ya kwamba the only way yo supress people with violence is through violence..kweli JWTZ wa infantry akafunge kambi ya FFU...what a myth!!
FFU kama polisi tu hawana lolote ni raia kama sisi sema wao tu ni raia wakakamavu. Hawawezi kupambana na JW. Wapigwe tu maana hamnaga akili nyinyi inawezekana na ww ni FFU
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hata mi nashangaa Ffu anapigwaje na mwanajeshi?.Hiv nyie mnawajua FFU au mnawasikia...
FFU kama polisi tu hawana lolote ni raia kama sisi sema wao tu ni raia wakakamavu. Hawawezi kupambana na JW. Wapigwe tu maana hamnaga akili nyinyi inawezekana na ww ni FFU
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
FFU wanavituo vyao rasmi.?