Jwtz ndo jesh lenye nidhamu afrika

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Msemaj wa jwtz anasema kuwa jwtz ndo jesh lenye nidhamu afrika,ameyasema hayo ktk dira ya dunia ya bibisi,huyo ni luten kanali mgawe
 
Unalinfanisha na nidhamu ya wapi, Misri au Libya? Nidhamu ya woga au ya heshima? Pls explain... for sure huwa tunaimba, TUNAJIVUNA, TUNAMAJESHII YA TZ.....!
 
Hajajua kutofautisha nidhamu na uoga na unafiki...vibaraka wa ccm hao jwtz
 
Nadhani linaongoza kwa nidhamu ya kutumika kisiasa!! Huwezi kutofautisha JWTZ, Jeshi la polisi na CCM
 
ANGALIZO: Mtu ambaye hajjapitia hata mgambo atatoaje comment za unidhamu wa jeshi?.......tuache ushabiki ...tutoe comment kama great thinkers/professionals....TWAWAALIKA WATU WA MAJESHI WATUJUVYE.....na si mashabiki na wabeba mabango wetu wa simba sports club kuelezea JWTZ ambayo hatujui hata ina sare za aina ngapi.....tutasema hata ULTIMATE ni jwtz
 
Nidhamu siyo tu kumuheshimu aliyepo juu yako (iwe kiumri, kicheo, nk.) bali ni pamoja na kujua wajibu wako na kuto kukubali kwenda dhidi ya wajibu wako hata uambiwe na nani. Wajibu mkuu wa jeshi ni kulinda mipaka na wananchi wa Tanzania. Kukubali kuvunja huu wajibu si nidhamu tena ni ukosefu wa nidhamu.
 
Hata mimi siku zote nilifikiri hivyo kuwa jeshi letu lina nidhamu hadi ile tarehe mosi Oktoba, 2010 alipojitokeza Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo na kuanza kuwatisha wananchi iwapo wangeikataa CCM. Kauli hiyo ya Shimbo inashabihiana na ile ya vitisho aliyotoa Seif-al-Islam mtoto wa Gaddafi dhidi ya raia wema wa Libya waliochoka na utawala wa baba yake na wameamua kudai haki na demokrasia zaidi. Kwa kitendo hiki peke yake, kuna tofauti gani kati ya jeshi letu na la Libya ?
 
ANGALIZO: Mtu ambaye hajjapitia hata mgambo atatoaje comment za unidhamu wa jeshi?.......tuache ushabiki ...tutoe comment kama great thinkers/professionals....TWAWAALIKA WATU WA MAJESHI WATUJUVYE.....na si mashabiki na wabeba mabango wetu wa simba sports club kuelezea JWTZ ambayo hatujui hata ina sare za aina ngapi.....tutasema hata ULTIMATE ni jwtz

Wewe great thinker ni kuongea hoja

Hauitaji kuwa mwansiasa kuongeala sissa zenye hoja
Hauitaji kuwa mchumi au kujua uchuimi kuonglea hali ya uchumi
Hauitaji kwenda kupitia jeshi ku comment juu ya nidhami ya Jeshi au wanajeshi.

Kuna kitu kinaitwa Observation

  • mabomu kulipuka mbagala, na gongolamboto ni observation amabayo hata mtoto wa primary ameiona anaweza kuongelea

  • Wanajeshi wanapokosa wakipga na kupiga raia ovyo vijijini ni observation amabyo haitaji kwenda mgambo kutoa comment kwamba kuna askari hawana nidhamu
So waache watu waseme na waeleze kama kuna hoja ambayo unaona sio ya kweli au haina mshiko inukuuu
 
Back
Top Bottom