ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,205
- 1,573
huyu jamaa hana la kutueleza, nahisi huko jeshini kuna ishu amabzo haziendi fresh, niliwasikia baadhi yao wakilalama kuwa jamaa hawajali kivile yaani mslahi yao yanabanwa, soo inawezekana ndio wameamua kulipua maghala ya mabomu wakitaka Mwamunyange ajiuzulu.
Duh mkuu isije ikawa kweli wakalipua na ya Lugalo ikawa Zahma - naona hayo yatalenga masaki na O'bey ili na wao tuwaone watakimbilia wapi, Baharini au huku kwetu.