JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Nasema kwa mara ya mwisho.

JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais.

Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu.

Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa Katiba Mpya na kuundwa upya kwa Taasisi Huru kweli ya Tume ya Uchaguzi then simamiaeni Uchaguzi mpya na kuapishwa kwa Rais mpya na Serikali mpya ndipo muachie kuiongoza hii nchi.

Sikilizeni kilio cha Watanzania. Nchi hii haimuhitaji Nchimbi. Kuna Watanzania wengi tupo tutawapa mawazo ya kuongoza kipindi cha mpito.

Fanyeni maamuzi haraka kabla Samia hajafanikisha mpango wake wa Tume kumtangaza kuwa mshindi wa Uchaguzi then akaomba Jeshi la Uganda kuja kuivamia Tanzania kumrudisha madarakani.

Kumbukeni Samia hana uchungu na Tanzania hasa Tanganyika yeye ana uchungu na madaraka. Kumbuleni CCM wanachotaka ni madaraka ili waendelee kuila na kuitawala Tanzania na sio kuifanya Tanzania kuwa Nchi yenye maendeleo ya kweli.

Simamieni kweli matakwa na maslahi ya Wananchi wengi na tangazeni mmechukua nchi haraka.
 
Kitu cha kufanya sasa hivi watu wote Dar es salaam watoke barabarani. Samia na polisi wake hawana power tena kama zamani. Wanajeshi watakuwa na wananchi
 
Sources are saying we might have Miltary Revolution on this night of 30th October
 
Kitu cha kufanya sasa hivi watu wote Dar es salaam watoke barabarani. Samia na polisi wake hawana power tena kama zamani. Wanajeshi watakuwa na wananchi
Na uelekeo sasa ni Ikulu.

Jeshi kama linachelewa kutangaza kwa limechukua Nchi watatukuta Ikulu na tutawalazimisha watangaze pale
 
Serikali ya Kiraia ni Bora zaidi Kuliko ya Kijeshi, Busara itumike mama amalize muda wake 2030
Wewe tunatafuta location yako ili GenZ tuje tukukaange nyama...

Sisi tunawaza kutoka kwenye mavi halafu wewe unaleta ujinga wa kujaribu kutu - push tuendelee kubaki kwenye kinyesi kinachonuka..????

Stop this nonsense immediately...!!!
 
1000104708.jpg
 
Back
Top Bottom