Nina masters ya Law ( LLB) na natarajia kujiunga na JWTZ mwakani.
Hiyo master of law ambayo umeiita LLB labda itakuwa imetoka chuo cha kata,bora usingeweka hata hicho kifupisho maana umeonekana ulivyo mtupu na haiyo llb yako ndio maana unataka kujificha huko jwtz kwa kuwa huwezi kufanya chochote kwenye uwanja wa sheria.Nina masters ya Law ( LLB) na natarajia kujiunga na JWTZ mwakani.
Bacherol ya LLM na Masters ya LLB hongeraaaaNina masters ya Law ( LLB) na natarajia kujiunga na JWTZ mwakani.
Nina masters ya Law ( LLB) na natarajia kujiunga na JWTZ mwakani.
Sishangai kaka, huyu ni mmoja ya wale wanao faulu pasipo kujua kusoma wala kuandika, karibu hapa postal bwana, kuna pombee na nyamaaa za kuchomadogo manoah ,huyu Mulugo anataka kutuibia watu wazima na mvi zetu
\Nina masters ya Law ( LLB) na natarajia kujiunga na JWTZ mwakani.
Mkuu umenena ukweli mtupu tatizo wakubwa wengi Jeshini elimu zao za kimagumashi.
Mkuu hilo ndilo jeshi, usiende pale Monduli kutafuta nyota ukatanguliza shahada zako, hizo zitakuja fanya kazi baadae!! Kwanza uwe discipline upate harassment ili uwe askari mzuri, mambo ya jeshi yanahitaji utii, fikiria bomu limetupwa hapo chini unaambiwa down, wewe unajishauri kwa nini si tutakuokota vipande vya nyama???? Kamanda mzuri lazima awe na discipline, hapo tutapata best soldier !!!! Pole kama ulikwenda ukashindwa kupaform, tekeleza amri maswali baadae!!!inaonekana kama ulifukuzwa monduli...,
kwa kifupi, pamoja na kipaji ulichonacho nidhamu ndiyo pillar ya mafunzo yako,, jeshi ni nidhamu, period! Na nidhamu ndio inaleta ufanisi kwenye uwanja wa vita, unapotoa amri mfuasi akatumbukize hand grenade kwny kifaru cha adui, hatakiwi kujiuliza hata kwa sekunde moja.., na hii nidhamu inajengwa kwenye mafunzo, ndio maana jeshini kuna adhabu za kipuuzi kabisa,, mfano unaambiwa umwagilie maua wakati mvua inanyesha,,, ukileta mambo ya logic utaona kua mkufunzi wako ni mpuuzi hana akili,,,, lakn thts part of disciplining you,, ufanye ulichoamrishwa hata kama hupendi,, na hii sio kwa jwtz tu, proffesional armies zote wana namna mbalimbali ya kufundisha nidhamu..,
Kuhusu kuajiri vipaji,,, kwa hili nakubaliana na ww kabisa kwamba japo jeshi linaajiri wasomi na siku za karibuni wanaajiri kwa wingi zaidi, ila bado kuna upungufu mkubwa sana wa wasomi wa fani mbalimbali,, lakini pia tutambue jwtz ipo kwenye transition period,,, kuna individuals ambao hawapendi kabisa hawa watoto wasomi wanaingia na kutoka na manyota fasta,, resistance kwenye change lazima iwepo, ila in general jeshi limeamua liwe dogo na la kisomi na ndio maana kwa sasa hakuna std 7 anaajiriwa wote ni form four and above unless ni mwanamichezo au ana kipaji flani cha sanaa...,
Ukiondoa isolated incidents za wakufunzi wachache kuwachukia wasomi,,, wakuu ngazi za juu wanataka jeshi dogo la kisasa na la wasomi..., na pale monduli bana ukichukiwa na wakufunzi,,, chances za kumaliza ni ndogo sana,,,
Nawaasa watakaopita interview inayokuja hivi karibuni,, pale monduli jishushe,, ni yes sir, yes staff, hata kama task ulopewa logically doesnt make sense
Mkuu mambo ya jeshi yako hivyo hivyo matrainer wengi elimu zao ni za chini, tafuta hata record za WESTPOINT kwa jeshi la AMERICA au Loyal College UK kupitia cadet school lazima uwe harassed ili apatikane soldier mzuri especially officer ambaye ni commander wa unity!!! Mkuu tafuta training program ya majeshi mbali mbali hasa western armies!! Huwezi kupata best officers kama hujawatoa uraia ingawa mara nyingi wanapewa short courses badala ya long program!! Wataalamu wanapewa special treatment wanapomaliza course, hivyo vijana wavumilie tuu undava ili baadae wafaidi!!Moshe Dayan najua when it comes to mambo ya JWTZ uko very deep.
Swali langu kwako ni hili, kama kweli jeshi linafanya reform na kuanza kuajiri wasomi wengi lakini kwa utaratibu wa jeshi hao wasomi lazima wafaulu shughuli ya monduli, na huko monduli ndiko kunatuhumiwa kuwa na matrainer wanoko hasa wale wa vteo vya chini.
JWTZ inafanya juhudi gani kuondoa huo unoko/uonevu ili wataalamu/waomi hao watumie taaluma zao kwa manufaa ya jeshi na nchi kwa ujumla.
Na kwa nchi zilizoendelea wasomi wanaojiunga na majeshi wanakuwa treated ''kinyaninyani'' kama mnavyowafanyia monduli?