JWTZ, KDF: Wanawake kazini

Did you know Kenya is the only African country that owns 6 of the German Grob G120A trainer helicopters?
Don't change the topic, I have said these light attack helicopters are not in service anywhere on the global, they are very old and outdated, prove me wrong
 
Rejelea Post #74 Vulcan ashakupa jibu unaendelea kuvaa miwani ya mbao 😂😂
 
Mwambie in Africa, zinapatikana tu Kenya!! Ameze ateme shauri yake!
Hahahahaha, this is desperation, hii sio ya Kenya, Hahahahaha, prove kama hii mnayo,mumepachika hiyo bendera, kama kawaida yenu kupenda Kujikweza kwa kutumia vitu vya watu, hahahahaha
 
Huyu ni nyanyako hapa chini ?

Rejelea Post #74 Vulcan ashakupa jibu unaendelea kuvaa miwani ya mbao [emoji23][emoji23]
Vulcan ameweka text ya mwaka 2005, saa hivi kila nchi imesha modernize jeshi lake, Tanzania tulimodernize jeshi letu mwaka 2014, Kenya bado mnatumia vifaa vya kizamani sana. Sema ukweli hizi helicopters zilitengenezwa mwaka gani kama sio 60s?
 
Ni kweli kenya mna vifaa vingi lkn kdf hawana mbinu za mapambano,,,
kila wiki kdf wana acha kambi wanawakimbia alshabab,pamoja na vifaa vyenu mkiwa navyo nyang'au nyinyi,
Acheni kufananisha JWTZ na takataka za kdf,,
 
Hahahahaha, this is desperation, hii sio ya Kenya, Hahahahaha, prove kama hii mnayo,mumepachika hiyo bendera, kama kawaida yenu kupenda Kujikweza kwa kutumia vitu vya watu, hahahahaha

Mimi sitachoka...fungua link soma hapa

"..... This was underlined when the U.S. Congress finally approved the acquisition of weapons for the Kenya Defense Forces (KDF) from various U.S. military hardware suppliers. Key amongst these included "12 MD530F Cayuse Warrior helicopters for the Kenya Air Force" to replace its legacy MD500 aircraft. These were in addition to an acquisition of six Bell UH-1Y helicopters that the KDF had acquired from the U.S. military.... "
 
Hahahahaha, this is desperation, hii sio ya Kenya, Hahahahaha, prove kama hii mnayo,mumepachika hiyo bendera, kama kawaida yenu kupenda Kujikweza kwa kutumia vitu vya watu, hahahahaha
Hehehe
 
Onyesha vifaa mlivyonavyo acha kutuletea makubaliano, mbona mlikubaliana na China kwamba mtajengewa reli hadi Kisumu. Mbona mliweka mikataba ya kujenga Green field terminal, je viko wapi?
 
Ni kweli kenya mna vifaa vingi lkn kdf hawana mbinu za mapambano,,,
kila wiki kdf wana acha kambi wanawakimbia alshabab,pamoja na vifaa vyenu mkiwa navyo nyang'au nyinyi,
Acheni kufananisha JWTZ na takataka za kdf,,
Povu mwaga inakubalika 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…