JWTZ ina vikosi vingapi?

Hao waliovaa mabaka na kofia nyekundu ni kutoka kamandi ya nchi kavu kikosi maalum(komandoo)
Hao waliovaa kama nyeusi/dark blue ni kutoka kamandi ya maji kikosi maalum ie ni makomandoo lakini wa navy
Na wale wanaoshuka kwa Kamba watakuwa para troopers au kikosi maalumu cha angani , mazoezi magumu Sio mchezo na risk
 
Next time wamalizie fire brigade na wale jamaa wa porini.

Ila nadhani ujumbe iliotumwa kwa maraisi waliohudhuria umefika kikamilifu Viva jw Viva vikosi vyote

Kweli aisee natamani pia kama askari wa kwenye hifadhi wataongezwa alafu swali lingine nalojiuliza hivi jeshini kuna kikosi au kitengo chochote wanachoruhusiwa kufuga ndevu na nywele pindi wawapo kazini?
 
Hawa paratroopers mafunzo mengi n nje ya nchi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Aisee wamekwiva hatari naona kila mmoja anashuka kwa aina yake haya mambo tumezoea kuyaona kwa US army lakini inadhihirisha kwamba TZ tupo vyema kwasasa tumepiga hatua



Nimeona polisi kwenye hiki kikosi naomba kufahamishwa imekaaje



Ila nimependa sana hii show na ninaimani iliwavutia watanzania wengi



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…