Mantheman6
Senior Member
- May 30, 2020
- 169
- 144
Achana na ugali wewe ili uwe kama Bakhresa.Kipi ulichokiona leo kitaweka ugali mezani
Namuona mwanangu suma hapo mbeleHao waliovaa mabaka na kofia nyekundu ni kutoka kamandi ya nchi kavu kikosi maalum(komandoo)
Hao waliovaa kama nyeusi/dark blue ni kutoka kamandi ya maji kikosi maalum ie ni makomandoo lakini wa navy
Dah!Wooote hao ni cha mtoto mbele ya Kingai na Mahita na Jumanne ...wanalizwa kama watoto
Hao waliovaa mabaka na kofia nyekundu ni kutoka kamandi ya nchi kavu kikosi maalum(komandoo)
Hao waliovaa kama nyeusi/dark blue ni kutoka kamandi ya maji kikosi maalum ie ni makomandoo lakini wa navy
Ahahaha police wanawacheka tu,,
Hadi utamu natamani turudie tena[emoji14][emoji14][emoji14]
Namuona mwanangu suma hapo mbele
Umenifanya nicheke kwa sautiWooote hao ni cha mtoto mbele ya Kingai na Mahita na Jumanne ...wanalizwa kama watoto
Umenifanya nicheke kwa sauti
Next time wamalizie fire brigade na wale jamaa wa porini.Habari zenu wanaJF naimani wote mkoa poa tukisheherekea sikukuu ya miaka 60 ya Uhuru
Ndugu zangu kama ilivyo kawaida kila ifikapo 9 Desemba vikosi mbalimbali vya kijeshi huenda kutoa burudani kidogo kwa wananchi na viongozi wake kwenye uwanja wa uhuru
Sasa siku ya leo kiukweli nimefurahishwa sana kuona jeshi la uhamiaji wakiongezwa kwenye gwaride kwa mara ya kwanza.
Lakini kubwa zaidi nalotamani kufahamu ni kuhusu aina mbalimbali za vikosi vya jeshi la wananchi jwtz pamoja na majukumu yao.
View attachment 2038369
Siku ya leo vimepita vikosi mbalimbali mbele ya rais lakini kuna baadhi ya uniform hatujazoea kuziona zikivaliwa na wanajeshi wetu lakini katika aina tofauti ya vikosi vilivyopita leo pale uwanja wa uhuru tulishuhudia gwanda nyeusi
View attachment 2038371
Je hiki ni kikosi gani na wanamajukumu gani?
Lakini wapo pia wanaotofautiana kwenye rangi za kofia naomba kujuzwa kuhusu wao
View attachment 2038373
View attachment 2038375
Mwisho kabisa nipongeze jeshi letu kwa uzalendo waliotuonyesha leo hakika tupo imara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wooote hao ni cha mtoto mbele ya Kingai na Mahita na Jumanne ...wanalizwa kama watoto
Nawee ulikuepo wakat wa zile gwaride? [emoji23][emoji23][emoji23]Hadi utamu natamani turudie tena[emoji14][emoji14][emoji14]