Hahaha.......tuwaombee heri 🙏🙏Nitasikitika nisipopata mjukuu hapa
Moyo wangu umejaa furaha kwa ajili yao.Picha inaongea...
View attachment 3313296
NiaminiJamani tenaa😂😂😂
Mwanamke ni yupi hapo, mbona wote wamevaa hereni?Picha inaongea...
View attachment 3313296
Imeongea imesemaje?Picha inaongea...
Kama ni mechi ya mpira wa miguu, mpira umeisha Nigeria 2-Tanzania 2 🤗Jux ndo katulipizia alivyochukuliwa Vee Money Nigeria?