UN judge Lydia Mugambe jailed for keeping housekeeper as slave

UN judge Lydia Mugambe jailed for keeping housekeeper as slave

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,602
Reaction score
22,707
Mugambe.png

Jaji wa Umoja wa Mataifa, Lydia Mugambe(50yrs), amehukumiwa kifungo cha miaka sita na miezi minne kwa kumtumikisha mwanamke wa Kiganda bila malipo kama mfanyakazi wa ndani na mlezi wa watoto.

Mugambe alikuwa akisomea Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Sheria katika Chuo Kikuu cha Oxford wakati polisi walipombaini akimtumikisha mwanamke huyo nyumbani kwake.

Mugambe, ambaye pia ni Jaji wa Mahakama Kuu nchini Uganda, alipatikana na hatia mwezi Machi na kuhukumiwa katika Mahakama ya Oxford Crown.

Jaji David Foxton alieleza kuwa Mugambe hakuonesha majuto yoyote na alijaribu kumlaumu mwathirika. Polisi walimkamata huku akidai ana kinga ya kidiplomasia.

Inadaiwa Mugambe alipata visa ya mwanamke huyo kwa udanganyifu, ikionesha angeajiriwa rasmi na John Mugerwa, aliyekuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Uganda London, lakini kwa kweli alimfanya mtumwa wake binafsi.

Ushahidi ulionesha Mugambe alimchukua mwathirika kutoka uwanja wa ndege na kumweka nyumbani kwake Kidlington.

Mwathirika alisema aliishi kwa hofu kutokana na ushawishi wa Mugambe na hawezi kurejea Uganda. Mugerwa hakushtakiwa kutokana na kinga yake ya kidiplomasia.

Mugambe alikanusha madai hayo, huku Chuo Kikuu cha Oxford kikieleza kusikitishwa na tukio hilo na kuanzisha mchakato wa kinidhamu.

----
A United Nations judge has been jailed for six years and four months for forcing a woman to work as a domestic slave.

Lydia Mugambe, 50, was studying for a PhD in law at the University of Oxford when police discovered she had a young Ugandan woman at her home carrying out unpaid work as a maid and nanny.

Mugambe, who is also a High Court judge in Uganda, was jailed at Oxford Crown Court on Friday after she was found guilty of modern day slavery offences in March.

In sentencing, Judge David Foxton told the defendant she "showed absolutely no remorse" for her actions and she had looked to "forcibly blame" the victim for what happened.

Body camera footage showed Mugambe telling police "I even have immunity" as they made the arrest

Mugambe fraudulently arranged a visa for the woman but it stipulated she would be paid to work as a private servant at the diplomatic residence of John Mugerwa, Uganda's former deputy high commissioner based at the country's embassy in London.

Prosecutors said Mr Mugerwa sponsored the victim's visa knowing she would actually work in servitude for Mugambe.

In return, Mugambe would provide him assistance in relation to a separate court case in Uganda in which he was a defendant, the court was told.

The trial heard Mugambe paid for the victim's flight and picked her up from the airport - but the young woman then became a slave at the judge's home in Kidlington, Oxfordshire.

Mugambe was studying for a PhD at the University of Oxford

Mr Foxton described it as a "very sad case" as he outlined Mugambe's legal accomplishments, including her work in the protection of human rights.

In a written statement, read to the court by prosecutor Caroline Haughey KC, the victim described living in "almost constant fear" due to Mugambe's powerful standing in Uganda.

The woman, who cannot be named for legal reasons, said she "can't go back to Uganda" due to fear of what may happen to her and added that she may never see her mother again.

Ms Haughey said Mugambe exploited her victim by taking advantage of her lack of knowledge about employment rights and misleading her about why she came to the UK.

She said there was a "clear and significant imbalance of power within the relationship" between Mugambe and her victim.

'Treated as worthless'

The Crown Prosecution Service authorised police to charge Mr Mugerwa with conspiracy but he had diplomatic immunity, which the Ugandan Government did not waive.

Mugambe had denied forcing the young Ugandan woman to do household chores and said she "always" treated her with love, care and patience.

Ch Supt Ben Clark, of Thames Valley Police, said there was "no doubt" that Mugambe had known she was committing offences.

"Modern slavery is an under reported crime and I hope that the bravery of the victim in this case encourages other victims of modern slavery to come forward," he said.

A University of Oxford spokesperson said the institution was "appalled" by its student's crimes.

"The university is now commencing its own disciplinary process, which has the power to remove students convicted of serious criminal offences," the spokesperson added.

Source: BBC
 
Tukiwaambia mafeminist hawana akili ni wagonjwa wa akili wanaohitaji msaada kufuta trauma zao mnatuona tunawasema vibaya hawa wakuda.

Ona sasa mtu yupo taasisi ya haki ila hana hata idea ya neno haki lina maana gani. Huyu mtu kawekwa kwenye chombo nyeti kama hiki kwasababu ya ushabiki wa baadhi ya wanaume machoko wasiojua maana ya kuwa mwanaume ni nini.

Sasa mwanamke anamkandamiza mwanamke mwenzake namna hiyo kwa matarajio gani aisee.
 
Tukiwaambia mafeminist hawana akili ni wagonjwa wa akili wanaohitaji msaada kufuta trauma zao mnatuona tunawasema vibaya hawa wakuda.

Ona sasa mtu yupo taasisi ya haki ila hana hata idea ya neno haki lina maana gani. Huyu mtu kawekwa kwenye chombo nyeti kama hiki kwasababu ya ushabiki wa baadhi ya wanaume machoko wasiojua maana ya kuwa mwanaume ni nini.

Sasa mwanamke anamkandamiza mwanamke mwenzake namna hiyo kwa matarajio gani aisee.
Kuna mama mmoja msomi alikuwa anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani ila kwa sasa ni mstaafu aliwahi kuniambia hivi "Endapo kama wanawake ndio wangekuwa wana nguvu ya kiuchumi na kimamlaka, halafu wanaume ndio jinsia dhaifu kamwe wasingeruhusu suala la haki sawa na wanaume tungeteseka sana" akimaanisha kuwa hili jamii iweze kuwa na utulivu ni lazima jinsia moja iwe dominant.

Hiki kisa cha huyu judge wa Uganda kinatukumbusha tu kuwa hawa jinsia KE mara nyingi elimu na madaraka huwa wanavitumia kama silaha ya kuwanyanyasa waliopo chini yao na sio kuisaidia jamii kama tunavyoaminishwa.

Ona kama huyu ambaye jamii inamuangalia kama ni moja ya watu muhimu katika kupambana na ukatili dhidi ya wanawake, ila ndio kwanza yeye ndio anakuwa perpetrator.

Na si ajabu wakati kabla hawajamkamata siku kadhaa nyuma kuna watu waliletwa mahakamani kwa makosa ya ukatili/unyanyasaji dhidi ya wanawake akawapiga mvua za kutosha huku akiwa na uso mkavu kabisa.
 
Watu kama hao inabidi wafungwe alafu wachapwe na Bakora kadhaa
 
Back
Top Bottom