Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,323
- 108,389
Mmeanza kukiri wenyewe tehe tehe tehe tehe.
Hahah...mbona unaniwekea maneno mkuu
Hilo lilikuwa ni jibu kulingana na swali lililoulizwa...au sikupaswa kujibu hivyo
Mmeanza kukiri wenyewe tehe tehe tehe tehe.
Aisee kweli hata nami nikiangalia replay ile si penalt halali ila pale kwa Ronaldo ilikuwa faulo.
unaona refa anawabeba james alijiangusha tena alifikiri refa atatoa tena penanti kala njanoHuyu refa sasa mhhhhh!!!!
Ahhh!!! Subiri wewe mpira unadunda......
Hahah...mbona unaniwekea maneno mkuu
Hilo lilikuwa ni jibu kulingana na swali lililoulizwa...au sikupaswa kujibu hivyo
Sasa ndio mpira umeanza...
Mkuu Mpira ulianza muda.....nahisi Madrid watatolewa kwa kupanic