KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Bale alidhani mbio tuu zinamtosha kuwa superstar kachuja kwa kasi sana...!
Hahah...hiyo ni statement tu ya kimichezo.
Madrid walikuwa wanaringia goli la ugenini, sasa nalo wenzao wamelipata
Sasa ndio mpira umeanza...
Bale alidhani mbio tuu zinamtosha kuwa superstar kachuja kwa kasi sana...!
Niliingia maombini kidogo.....
Juve wasiposogea kutoka golini wataleta madhara maana naona wanamtafutia Cristian R faulu ataipiga kwa hasira na ufundi wa ajabu...
Umeona eeeh!! Inabidi wabadilike .....
Wakuu samahani,naomba kujua matokeo..
Wakuu samahani,naomba kujua matokeo..