Juve tunaenda kufa Madrid,nishasema mapemaa msinisumbue!

Mimi squad yangu ni nzuri mno...
Tatizo ni majeruhi na Kocha yule zezeta...

Ndio maana nilishakuchagua kama Wakili wangu hapa JF maana hujawahi shindwa kujitetea.

Roma wamekuacha kwa point 13, utetezi wako ni majeruhi.
Kwa club yenye hadhi kama Milan, ni aibu kuwa na kikosi kibovu ambacho watu wawili au watatu wakiwa majeruhi, unakua mtafutano.
 
Milan wana kikosi kibovu msimu huu then walifanya mistake sana kumsajili KAKA ambaye anajulikana ni spana mkononi na kumwachia Prince Boateng aondoke.Kuja kwa Rafa Benitez na Rudi Garcia kumeleta balance kwenye Serie A.
 
Hii thread ungeianzisha Jumanne ama jumatano...kuianzisha leo ni kuficha aibu yako ulioipata ya kulambwa 40 na Fiorentina...

Tujadili kwanza ya leo sheikh...

mnokoooooo...!mie najitahidi kuficha we umeng'ang'ana tuu!haya bwana we jtano una mechi na Udinese inayovaa mistari myekundu na bluu!utapiga tena moja bila,au sio?teh teh!
 
Milan wana kikosi kibovu msimu huu then walifanya mistake sana kumsajili KAKA ambaye anajulikana ni spana mkononi na kumwachia Prince Boateng aondoke.Kuja kwa Rafa Benitez na Rudi Garcia kumeleta balance kwenye Serie A.
kama kuna upuuzi wameufanya Milan basi ni kumuachia Boateng!yaani wamenikera kweli mkuu.
 
Milan wana kikosi kibovu msimu huu then walifanya mistake sana kumsajili KAKA ambaye anajulikana ni spana mkononi na kumwachia Prince Boateng aondoke.Kuja kwa Rafa Benitez na Rudi Garcia kumeleta balance kwenye Serie A.

Ahsante Belo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu juve 2012. Kipigo tulichopata jana ni kafara ya kumfunga Madrid. Utaniambia mechi ikiisha. Hapa wachezaji ndio kama wamepewa chachu ya kutafuta ushindi J5. Sema yote kwa yote timu haina changamoto msimu huu. Ubingwa tunauachia mapema tu.
 
Ahsante bologna
 
Last edited by a moderator:
haha leo pirlo hajui kukaba!?

mkuu kidole007 Pirlo huwa hajui kukaba hilo linaeleweka.na hii ni disadvantage kwa regista ,kwa sababu anacheza deep,anatakiwa awe combative kama akina Edgar Davids,sasa Pirlo yeye ni regista wa ajabu duniani,asiyejua kukaba lakini ana faida kwenye kupiga mipira mirefu yenye madhara.Mipira hiyo ilihitaji timu yenye trequertista mwepesi wa kuifuata na hasa anayependelea kucheza pembeni mwa uwanja ili kutanua uwanja na kuwa target point ya Pirlo kila wakati,au vinginevyo tungekuwa na mawinga ambao Pirlo angekuwa anawachungulia kila saa akigeuka kushoto analisha,akipiga kulia anapokea mtu,halafu hii triangle yote ya mawinga wawili na Pirlo inarusha long range missiles pale kati kwa mlima everest(Llorente) huku puma mkorofi(Tevez) akiviziavizia,nakuambia Juve tungeomba kushiriki kombe la dunia na national teams zote tungechakaza!sasa kutokana na deficit hii ya wachezaji muhimu na hasa mawinga au trequertista,mabeki wanalazimika kupanda sana muda wote huku regista akiwa hakabi na wote si watu wa mbio kama akina Carlos,matokeo yake watu wakicheza na Juve wanachofanya cha kwanza ni kummark Pirlo ili awe isolated na timu nzima,pili wanakaa nyuma ili kuwavuta mabeki wa Juve kupanda na kumuacha mtu mmoja mjanja kati kati ambaye huleta misiba kwa Buffon akiwa peke yake on counters.hili ni tatizo la usajili.sasa fikiria Modric,Bale,Ronaldo,Isqo..!nashauri jumanne turudi kwenye Cartenacchio,wote tukae nyuma muda wote,tusicheze mpira,tuwapige Madrid counter attacks,yaani kisu kile kile kinachotuchoma na sisi tukitumie mechi hii,huenda tukapata matokeo Bernebeu,lakini tukisema twende nao sawa kwa possession,mh,sijui!
 
Last edited by a moderator:
Kama letu limegeuka Genge, na lako je? Hali yetu mbaya ila yako mbaya zaidi na tusipojishika mwaka huu, tutawaacha Roma na Napoli wagombanie scudeto huku sisi tukitiana pembe kupata nafasi ya Champions League

Jumatano tutawatandika Madrid hapohapo kwao, na hakuna atakae shangaa kwani, 'mwenda kwao, haogopi giza'

safi mkuu Mourinho,mpe mpe za uso huyo mhafidhina wa Rossoneri,anaongea kama vile yuko nyuma ya Juve kwenye nafasi ya nne,kumbe doh,ngoja nimkumbushe ile hadithi ya uwanja wa Manungu kule Mtibwa,nasikia una mabonde kiasi kwamba mtu akienda kupiga kona haonekani inabidi aseme "oyaaa inakuja hiyooo",sasa na Chomba kule Serie A haonekani kabisa,kila nikigeuka nyuma kucheki nafasi ya nne simuoni,ya tano,sita,saba,nane,tisa..doh,nimechoka kuhesabu,labda niite we Chomba weeee unakujaaa?!
 
Last edited by a moderator:
Mimi squad yangu ni nzuri mno...
Tatizo ni majeruhi na Kocha yule zezeta...

kwi kwi kwiii!naona unaongea huku kijasho chembambaa kinakutoka,hebu angalia hako katangazo ka Dstv hapo juu kuna mechi nzuuri kweli wataonyesha jtano,usikose kuangalia eeh,kwi kwii!
 
safi mkuu Mourinho,mpe mpe za uso huyo mhafidhina wa Rossoneri,anaongea kama vile yuko nyuma ya Juve kwenye nafasi ya nne,kumbe doh,ngoja nimkumbushe ile hadithi ya uwanja wa Manungu kule Mtibwa,nasikia una mabonde kiasi kwamba mtu akienda kupiga kona haonekani inabidi aseme "oyaaa inakuja hiyooo",sasa na Chomba kule Serie A haonekani kabisa,kila nikigeuka nyuma kucheki nafasi ya nne simuoni,ya tano,sita,saba,nane,tisa..doh,nimechoka kuhesabu,labda niite we Chomba weeee unakujaaa?!
juve2012, wanasema 'nyani haoni kundule'
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwiii!naona unaongea huku kijasho chembambaa kinakutoka,hebu angalia hako katangazo ka Dstv hapo juu kuna mechi nzuuri kweli wataonyesha jtano,usikose kuangalia eeh,kwi kwii!

Ukisikia mtu anatishia kujamba wakati anahara, ndio hii!
 
Kwanza kesho atakufa Ac Milan, kesho kutwa msiba kwa Madrid pale Bernabeu.
 
Milan wana kikosi kibovu msimu huu then walifanya mistake sana kumsajili KAKA ambaye anajulikana ni spana mkononi na kumwachia Prince Boateng aondoke.Kuja kwa Rafa Benitez na Rudi Garcia kumeleta balance kwenye Serie A.

AC Milan Il Club piu Titolato al Mondo...
 
mnokoooooo...!mie najitahidi kuficha we umeng'ang'ana tuu!haya bwana we jtano una mechi na Udinese inayovaa mistari myekundu na bluu!utapiga tena moja bila,au sio?teh teh!

Makipa ni Amelia, Copola na Andreacci

Mabeki ni Abate, Zacardo, Sylvestre, Mexes, Zapata na Constant

Viungo ni Birsa, Poli, Muntari, Nocerino, Emanuelson, The Young, Bro na Montolivo

Striker's ni Robinho, Matri na Balomania

Hao ndo sungusungu watakao msuta ndugu yangu Belo leo
 
Back
Top Bottom