Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
safi mkuu Mourinho,mpe mpe za uso huyo mhafidhina wa Rossoneri,anaongea kama vile yuko nyuma ya Juve kwenye nafasi ya nne,kumbe doh,ngoja nimkumbushe ile hadithi ya uwanja wa Manungu kule Mtibwa,nasikia una mabonde kiasi kwamba mtu akienda kupiga kona haonekani inabidi aseme "oyaaa inakuja hiyooo",sasa na Chomba kule Serie A haonekani kabisa,kila nikigeuka nyuma kucheki nafasi ya nne simuoni,ya tano,sita,saba,nane,tisa..doh,nimechoka kuhesabu,labda niite we Chomba weeee unakujaaa?!
Wanasema usiniite mzururaji wakati kila dakika tunakutana...
Mie na wewe sheikh wote tutatolewa MOI na kupelekwa ICU siku si nyingi...
Last edited by a moderator: