Juve tunaenda kufa Madrid,nishasema mapemaa msinisumbue!

Ndugu yangu mie kila siku nakwambia hatuna kocha...
Yaani bora hata Seedorf au Pipo mmoja achukue timu.
Au hata Mbavu ya zamani Tasotti achukue timu.

Na jembe langu Nocerino, mbona anamuua kiwango jamaa? Uncle Festa na ujanja wake unaomsifia anashindwa nini kuleta kocha mzuri hapo? Chukueni dogo Simeone kutoka Atletico Madrid mpeni team
 
naunga mkono hoja ila mh!tutakosa mataji ya serie a kwa misimu mingi si unaona Roma na Napoli wanavyotutoa kamasi?
 
Muulize Mourinho anauzungumziaje uwezo wa Bro?

Kutoka kwenye majeruhi na kucheza kama alivyocheza, Bro bado ana mengi miguuni pake plus alichezeshwa pembeni.

Mkipata combinenga nzuri ya Super Mario, Farao, Bro na Pazzini hapo mbele, heshima itarudi
 
naunga mkono hoja ila mh!tutakosa mataji ya serie a kwa misimu mingi si unaona Roma na Napoli wanavyotutoa kamasi?

Unadhani huyu Conte anavyombwela akiendelea atabaki? Tutamleta Jurgen Klopp hapo abadilishe hiyo falsafa mbovu ya Conte, eti 3-5-2, real?
 
Na jembe langu Nocerino, mbona anamuua kiwango jamaa? Uncle Festa na ujanja wake unaomsifia anashindwa nini kuleta kocha mzuri hapo? Chukueni dogo Simeone kutoka Atletico Madrid mpeni team

Mkuu umesahau Simeone kakiputa Inter?
So ni ngumu kuja kuwa kocha kwetu
 
Mkuu umesahau Simeone kakiputa Inter?
So ni ngumu kuja kuwa kocha kwetu

Ibra kadabra kacheza Juve-Inter-Milan,
Super Mario kakipiga Inter
Pazzini katoka Inter, na wengine wengi
Kwa hiyo me sidhani kama hiyo ni ishu
 
Robinho ana mzaha sana jamaa yule...
Ila ataisoma namba...aendelee kuneng'eneka vilevile, ngoja Elshaarawy na Pazini wapone, then yeye aanze kukalia mkeka
hahahaha kumbe kiboko yenu Messi(hadi kutamka anavyowatibu nesi)pole sana unakaribishwa Nou Camp,safari kama anavyosema juve02 kuhusu Neymar,nadhani ataonyesha uwezo wake kwenu,hongera sana kwa ushindi jana@Turati
 
mkuu gutierez long time no see vipi?
kimya kingi kina mshindo juve2002,nakusubiri leo ujionee vijana wengine wa kihispaniola wakiwakaribisha leo,jana atletico madrid wame2pa raha huko vienna 0-3,leo nina tiketi ntakupa kuingia@bernebeu.
 
hahahaha kumbe kiboko yenu Messi(hadi kutamka anavyowatibu nesi)pole sana unakaribishwa Nou Camp,safari kama anavyosema juve02 kuhusu Neymar,nadhani ataonyesha uwezo wake kwenu,hongera sana kwa ushindi jana@Turati

Hivi jana Naima aligusa mpira?
 
Madrid 2 Juve 1!tumefungwa lakini refa kawabeba Madrid hawana kitu.Wanakuja kuumia Turin!
 
Unapiga hesabu za kuwa na mjukuu wakati mtoto huna...
usijiangalie wewe tu, muangalie na Galatasaray mwenzio kamshikisha ukuta yule kibonde ambae wewe ulitoka nae patulo.
Na nxt game yule kibonde anakwenda Ally Samien kwa Gala...so it means Gala ana point 3 nyingine za kubweda...

Shtuka
 
Get your facts right

Next game Gala ndio anamfuata huyo kibonde kwao huko Copenhagen na hizo tatu za ubweda tutaziona hapohapo!
 
Back
Top Bottom