juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,041
- Thread starter
- #81
Gang chomba ni kama Jua, Asubuhi Mashariki, jioni Magharibi...
Gang Chomba hapotei
huyooo kwi kwii!nilijua tu utapata droo na kuja kusumbua watu humu,anyway,hongera mzee mwenzangu kupata droo kwa Neymar na timu ya kuungaunga viraka hivi umejitahidi aisee.Kazi Nou Camp.Usirudie ya mwaka jana tena.Bahati mbaya nilipata emergence nimeshindwa kucheki game za leo.Baridi kaali kesho Bernebeu uuwii!