Juve tunaenda kufa Madrid,nishasema mapemaa msinisumbue!

juve2012

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
3,343
Reaction score
2,041
Wakati mwingine tuwe wakweli bwana!we unaona tairi imepasuka unajidanganya gari itaendelea na safari!ni hivi,mimi kama shabiki mkubwa wa Juve tangu 1992,I and I this old see upfully that huu ni mwaka wa Madrid kufuta uteja kwa Juve,na wakishindwa kufanya hivyo hawatapata bahati kama hii kirahisi tena huko mbele.Juve ya mwaka huu ovyo kabisa,hatuna playmakers,regista wetu Pirlo hajui kukaba,hatuna mawinga,mabeki wetu wakipanda hawarudi na Conte anatoa soft speeches hata kwa kipigo cha aibu pale stadio Artemio Franchi!hastuki kabisaa,yuko poaaa!namkumbuka sana mzee Lippi.enyi wana jf jtano sitaki usumbufu wala kusemwasemwa,nishawaambia tunaenda kufa Bernebeu,!hivyo mkae kimyaa,muache kisebusebu na kiroho papo!mss!ila roho inaniumaa!hili timu hili presha tupu mwaka huu!
 
Hii thread ungeianzisha Jumanne ama jumatano...kuianzisha leo ni kuficha aibu yako ulioipata ya kulambwa 40 na Fiorentina...

Tujadili kwanza ya leo sheikh...
 
Wachezaji wetu muhimu ni Pirlo na Vidal, labla na mkubwa Bonucci.

Vidal karudi juzi mchana akitokea kwao, akapigwa faini kwa kuchelewa na kama haitoshi jana kaanzia bench, hivi faini haikumtosha? Au ndio kukomoana? Mwisho wa ubaya ni aibu na aibu ndiyo tuliipata jana.
 
Teh teh leo Duka limegeuka Genge?

Kama letu limegeuka Genge, na lako je? Hali yetu mbaya ila yako mbaya zaidi na tusipojishika mwaka huu, tutawaacha Roma na Napoli wagombanie scudeto huku sisi tukitiana pembe kupata nafasi ya Champions League

Jumatano tutawatandika Madrid hapohapo kwao, na hakuna atakae shangaa kwani, 'mwenda kwao, haogopi giza'
 
Siku zote Madrid ni kibonde wa Juve but huenda safari hii Anceloti akawasaidia kufuta uteja,Juve wakizubaa huenda wakaenda kucheza Uropa
 
Mwenda kwao haogopi giza Mkuu
 
we juve2012 mbona unaishi kwa hofu? Kwani record za juve vs Madrid zikoje? Kama nitakuwa nimekuelewa madrid hajawahi kuifunga juve. Kama ndivyo, juve watashinda tena kwa kivuli cha historia. Juve ni clab kubwa na real madrid wanalijua hilo. Acha kuishi kwa hofu,shehe chomba anakuchimba beat unatetemekaaah! Aarrggh
 
Last edited by a moderator:
Ni kawaida kwa timu zinazoshiriki CL kufanya vibaya mechi moja kabla ya CL big match.usishangae Madrid akakaa kwa Juve.
 
J'5 Madrid kukalishwa ni Haki yake kama Ac Milan ikienda Camp Nou.
 
we juve2012 mbona unaishi kwa hofu? Kwani record za juve vs Madrid zikoje? Kama nitakuwa nimekuelewa madrid hajawahi kuifunga juve. Kama ndivyo, juve watashinda tena kwa kivuli cha historia. Juve ni clab kubwa na real madrid wanalijua hilo. Acha kuishi kwa hofu,shehe chomba anakuchimba beat unatetemekaaah! Aarrggh

Hah hah hah mkubwa kaomba poo mapemaaa...
Teh teh ishu ni kuwa Madrid kawahi kumfunga Juve, ila bahti mbaya hafanikiwi kumtoa...
 
Last edited by a moderator:
J'5 Madrid kukalishwa ni Haki yake kama Ac Milan ikienda Camp Nou.

Hah hah hah ndugu yangu naona umechimba shimo hapa kisha umelifunika na majani...ukajuwa kwa vyovyote ntakatiza tu...
haya sheikh umenikamata
 
Kama letu limegeuka Genge, na lako je? Hali yetu mbaya ila yako mbaya zaidi na tusipojishika mwaka huu, tutawaacha Roma na Napoli wagombanie scudeto huku sisi tukitiana pembe kupata nafasi ya Champions League

Jumatano tutawatandika Madrid hapohapo kwao, na hakuna atakae shangaa kwani, 'mwenda kwao, haogopi giza'

Mimi squad yangu ni nzuri mno...
Tatizo ni majeruhi na Kocha yule zezeta...
 
Back
Top Bottom