Juu ya DOWANS: Mwakyembe ashangaa kutaka kulipa matapeli

Juu ya DOWANS: Mwakyembe ashangaa kutaka kulipa matapeli

Tukisoma Taratibu Zenyewe za ICC Tunaona Kwamba Serikali ya JK na CCM Wamevunja Sheria za Tanzania na Kudharau Mahakama Kuu ya Tanzania. Tusome Hapa Chini Kutoka Website ya ICC:

[url=http://www.iccwbo.org/court/arbitration/id4584/index.html]Arbitration[/URL]
Often the parties are from markedly different national, cultural and legal backgrounds.
They want to avoid litigation because they fear bias by national courts, are unfamiliar with national court procedures and want to be spared damaging publicity. ICC arbitration is an attractive alternative because it is international and confidential. Usually, it is less time-consuming and less expensive than litigation.

he Court organizes and supervises your arbitration and helps in overcoming obstacles. It does not itself resolve disputes, a task that is carried out by independent arbitrators. The Court makes every effort to ensure that the award is enforceable in national courts if need be, although in practice the parties usually comply

Under ICC Rules, the parties can choose the arbitrators, the place of arbitration and which rules of law should apply. They can even indicate a target date for completing the arbitration and estimate approximate costs in advance in full confidence that the Court will exercise control over the choice of the arbitrators, over the procedure, over the costs and over the award

Ukisoma Yote Haya Tutaona Jinsi Gani JK na Rostam Wametuchezea Ngoma Watanzania. Wanafikiri Hatujui Jinsi ya Kuresearch na Kupata Information Sahii. Huu Ndio Mwisho wa CCM na JK...
 
OMG... hata miezi 3 haijafika hali iko tete
mimi nilizania ule mpasuko umewekewa cement ya kutosha na ufa umepotea kabisa, inaonekana cement ilichakachuliwa
 
Tukisoma Taratibu Zenyewe za ICC Tunaona Kwamba Serikali ya JK na CCM Wamevunja Sheria za Tanzania na Kudharau Mahakama Kuu ya Tanzania. Tusome Hapa Chini Kutoka Website ya ICC:

Arbitration
Often the parties are from markedly different national, cultural and legal backgrounds.
They want to avoid litigation because they fear bias by national courts, are unfamiliar with national court procedures and want to be spared damaging publicity. ICC arbitration is an attractive alternative because it is international and confidential. Usually, it is less time-consuming and less expensive than litigation.

he Court organizes and supervises your arbitration and helps in overcoming obstacles. It does not itself resolve disputes, a task that is carried out by independent arbitrators. The Court makes every effort to ensure that the award is enforceable in national courts if need be, although in practice the parties usually comply

Under ICC Rules, the parties can choose the arbitrators, the place of arbitration and which rules of law should apply. They can even indicate a target date for completing the arbitration and estimate approximate costs in advance in full confidence that the Court will exercise control over the choice of the arbitrators, over the procedure, over the costs and over the award

Ukisoma Yote Haya Tutaona Jinsi Gani JK na Rostam Wameuchezea Ngoma Watanzania. Wanafikiri Hatujui Jinsi ya Kuresearch na Kupata Information Sahii. Huu Ndio Mwisho wa CCM na JK...

JK na Rostama unawazimia ndio maana unawataja, soma vizuri uliyoyabandika hayo ndio yanafanya mawakili wanaotaka kupinga hukumu ya ICC kuonekan ni uchwara, hawana kesi hapo.
 
JK na Rostama unawazimia ndio maana unawataja, soma vizuri uliyoyabandika hayo ndio yanafanya mawakili wanaotaka kupinga hukumu ya ICC kuonekan ni uchwara, hawana kesi hapo.
wewe zombe

mbona umekubali kununuliwa kwa bei ndogo kiasi hicho kutetea kila ovu la serikali huoni aibu?
 
Mwizi ni yule aliyeletewa mali akakataa kuilipia na ICC wameliona hilo hakuna pa kukwepa.
Na wasiwasi na uraia wako wewe si mtanzania kama ni mtanzania si yule wa kawaida.
 
Dowans wasipolipwa naomba mwanasheria mkuu,waziri wa nishati na madini,katibu mkuu,amiri jeshi,rex attoney firm,msemaji wa ikulu ,wote wanapaswa kupelekwa mahakamani kwa kujaribu kuhujumu uchumi. Pia waache nafasi zao wazi ili waadilifu waongoze taifa! Narudia kama dowans wasipolipwa kwa kugundua wazi kuwa ni vibaka na matapeli,na hawa hapa tajwa juu ni wenzao,waende nao!
 
Ukisikia mawakili pumba ndio hao. Kesi imeamuliwa ICC na mahakama ya hapa ni kusajili maamuzi, wangepinga huko ICC na si hapa, mahakama ya Tanzania haina mamlaka ya kufuta maamuzi ya ICC.

Wanajitafutia umaarufu lakini hawana kesi ya kushinda katika hili. Wangeshinda ingekuwa tu Dowans hawatimiza masharti ya mkataba.

The only way out ni kutangaza kuwa hatuwalipi Dowans na kuwalipa chini ya uvungu. Otherwise ya LONRHO na Nyerere yatajirudia.

Zomba;

Mahakama Kuu ya serikali husika haiwezi ikakataa kulipa deni toka ICC inapoona kuna makosa yamefanywa na ICC kwenye hukumu yao?

Zomba;

Hakuna nchi yeyote duniani ambayo zimepinga hukumu za ICC na hazikulipa fedha yeyote kama fidia waliyoamriwa walipe na ICC?

Zomba nijibu maswali haya 2 tafadhali
 
Na wasiwasi na uraia wako wewe si mtanzania kama ni mtanzania si yule wa kawaida.

Tatizo ni kuwa waTanzania ukweli huwa hatuupendi wala hatuutaki.

Mimi ni mTanzania na tena napenda ukweli na hayo niliyayesema hayapingiki. Jee, kama mtu kakuletea bidhaa yake ukikataa kumlipa ni nani mwizi hapo? Angekuletea bidhaa kinyume na makubalianao, una haki ya kukataa kumlipa, asingekuletea kabisa na wewe ndio una haki kabisaaaa ya kutomlipa. Kwa la Dowans ukweli unabaki palepale, mitambo imeletwa na ipo Ubungo, imejaribiwa na inafanya kazi vizuri kabisa. Sababu za kukataa kuwalipa ni nini? Majaji wa ICC hawakuiona, jee wewe unayo?
 
Ukisikia mawakili pumba ndio hao. Kesi imeamuliwa ICC na mahakama ya hapa ni kusajili maamuzi, wangepinga huko ICC na si hapa, mahakama ya Tanzania haina mamlaka ya kufuta maamuzi ya ICC.

Wanajitafutia umaarufu lakini hawana kesi ya kushinda katika hili. Wangeshinda ingekuwa tu Dowans hawatimiza masharti ya mkataba.

The only way out ni kutangaza kuwa hatuwalipi Dowans na kuwalipa chini ya uvungu. Otherwise ya LONRHO na Nyerere yatajirudia.
Dr. Mwakiembe ni populist leader na very flamboyant when it comes to public interest sometimes mpaka anakuwa sensesional.

Wajameni nimeisoma hukumu ya ICC, ilichofanya ni kuidhinisha tuu vipengele vya mkataba ambao walikubali uamuzi wake ni wa mwisho, hauna rufaa wala hauhojiwi na mamlaka yoyote!.
 
Tatizo ni kuwa waTanzania ukweli huwa hatuupendi wala hatuutaki.

Mimi ni mTanzania na tena napenda ukweli na hayo niliyayesema hayapingiki. Jee, kama mtu kakuletea bidhaa yake ukikataa kumlipa ni nani mwizi hapo? Angekuletea bidhaa kinyume na makubalianao, una haki ya kukataa kumlipa, asingekuletea kabisa na wewe ndio una haki kabisaaaa ya kutomlipa. Kwa la Dowans ukweli unabaki palepale, mitambo imeletwa na ipo Ubungo, imejaribiwa na inafanya kazi vizuri kabisa. Sababu za kukataa kuwalipa ni nini? Majaji wa ICC hawakuiona, jee wewe unayo?

come rain ..come sun, go east.. go west.... Zomba wewe sio Mtanganyika
 
Kiasi nimeanza kufurahi. Kumbe nchi yetu bado ina watu walioamka na kufumbua macho.

Sasa wazalendo walioko kwenye upinzani CUF na CDM waungane na wale walioko CCM. Tuna jeshi kubwa la ukombozi...

Zomba pamoja na kuwa ni mzanzibari lakini wewe ni m-Tz kwanini unazungumza lugha ya utetezi wa maisadi na si nchi yako? Mimi unanipa home work kubwa kuzidi umri wangu...

Naamini Mungu yupo kupigania nchi yake na watu wake. Duwaa za waja wake zimekubalika. Bwana apewe sifa milele...

Ombi: Tuwaombee wazalendo wetu Mh Sitta, Dr Mwakyembe, Dr W Slaa, Mzee Pinda, Prof Lipumba, Prof Tibaijuka
 
Patamu hapa, sasa mwanaume na asimame, Umefika wakati wa mwanasheria mkuu ajiuzulu maana hana faida kwa watanzania!
Kunguru yule kwa ufinyu wa akili yake alishapitisha walipwe!

We similarly pledge to directly resist those who steal from us those who actively work to ruin the future of our youth, we pledge to oppose those who stand before us as leaders but are in reality agents of confusion, division and destruction.
 
Uhuru nao wameanza kusapoti wapinga ufisadi? Basi ni mwanzo mzuri!
 
come rain ..come sun, go east.. go west.... Zomba wewe sio Mtanganyika

Hayo unasema wewe kuhusu mimi binafsi. Lakini hoja imekuingia na ukweli umeuona na hauna pa kuujibu.
 
come rain ..come sun, go east.. go west.... Zomba wewe sio Mtanganyika
LAT, Zomba ni Mtanzania tatizo lake he is realist wakati wengi humu ni ma populist wanafuata public opinion. Mimi ni kama Zomba, kwa hukumu ya ICC, tumeshikwa pabaya na hatuna pa kutokea and that is a fact!.
 
Dr. Mwakiembe ni populist leader na very flamboyant when it comes to public interest sometimes mpaka anakuwa sensesional.
Wajameni nimeisoma hukumu ya ICC, ilichofanya ni kuidhinisha tuu vipengele vya mkataba ambao walikubali uamuzi wake ni wamwisho, hauna rufaa wala hauhojiwi na mamlaka yoyote!.

Pasco;

ICC wakitoa hukumu lzm iende kwenye Mahakama Kuu ya nchi husika kusajiliwa na ndipo hapo walioshinda kesi watalipwa;Serikali kama inaona ilionewa na ina ushahidi wa madai yao inaweza ikaiambia Mahakama Kuu yake isiisajili kesi hiyo na hao DOWANS hawatalipwa!

Nchi nyingi tu duniani kwa kupitia Mahakama zake kuu zimewahi kukataza kusajiliwa kwa kesi za ICC na kutolipa wanao wadai na Tanzania inaweza fanya hivi maana DOWANS ilinunua mkataba kutoka RICHMOND kampuni ambayo Kamati teule ya Bunge iliwatangazia wa Tanzania kuwa ni ya kitapeli!

Kwa nini watanzania wawalipe hela matapeli,tuna sababu nzuri tu ya kuiambia ICC kuwa DOWANS hatuilipi maana ilichukua mkataba wa Richomond kampuni hewa isiyokuwepo duniani?
 
Back
Top Bottom