Justin Bieber Hali ni Tete kulikoni?

Justin Bieber Hali ni Tete kulikoni?

Umaarufu wa hollywood una gharama zake dogo hayuko sawa kitambo kuna kitu kinaendelea namuona anajitahid sana kua karibu na Mungu
mkuu unaonekana una sili kubwa kuhusu hili kuliko wote waliotoa maoni yao hapa tujuze tafadhari
 
namuombea san justin bcs napend mziki wake japo yanatakankumkuta ya michael jackson
 
Wana Jf Several days nmeona uyu dogo ambaye ni mwanamuziki mzuri tu kwenye Game la Muziki sasa anatembea na Drip ambayo inasemekana ni ya kuongeza Nguvu,Kuondoka stress maana wanasema Yuko depressed sana Je nini kinamtafuna huyu dogo? Wenye kujua waje na ukweli wa mambo..View attachment 1214414
Ana cancer ya damu....
 
Back
Top Bottom