Justice For Mnyika

Alikuwa na nguvu kukemea ufisadi but now unataka aongelee nini wakati kubwa lao analog ndani ya chama? Unataka azungumzie demokrasia wakati chama kina life chairman? Unataka azungumzie bunge live wakati wao hawamo bungeni? Azungumzie maandamano ya akina mbowe na polis wakati serikali imezuia na Linda alisema mkaidi apigwe? Unataka azungumzie bajeti wakati bajeti inachqmbuliwa mitaani na akina zzk. Muache ale bata mkaka wa watu
 
Chadema inapoteza vijana wake mahiri kwa ufuska wa Lowassa, Lowassa anauwa upinzani.
Ukawa kwishney
 
Mkuu umetoa analysis ya nguvu.
 
Kwanza ungejiweka wazi ulikuwa kamati IPI ya MNYIKA uchaguzi uliopita na kiongozi wa kamati yako alikuwa nani?? Kama jibu huna basi majungu peleka kwenu
 
Mimi nilidhani labda he is sick, kumbe yupo? Au kwa kuwa Bunge haliko live?
Swala la Mnyika ni zito sana maana team lowassa na 4u movement wameapa kumpoteza mpaka na yeye akubali kumsafisha lowassa
 
Mie pia nimekuwa nikishangazwa sana na ukimya wake kupindukia.
 
Kwanza ungejiweka wazi ulikuwa kamati IPI ya MNYIKA uchaguzi uliopita na kiongozi wa kamati yako alikuwa nani?? Kama jibu huna basi majungu peleka kwenu
Mkuu usiite haya ni majungu huko ni kumchokoza Mnyika. Mnyika akifunguka chadema inavunjika vipande vipande.
 
Mnyika ni kijana mstaarabu na hana fikra za kijinga kama wewe mleta mada. For your information, Mnyika yuko kimkakati zaidi kuliko wanavyofiri wendawazimu wa BK7
 
Lazima utakuwa unapigania maslahi yako binafsi. Uchochezi kama huu hauna maana yoyote wala thamani
 
Yeye Mnyika asijidai yeye ni kichwa sana hapa Tz. Kama makosa yalitendeka baasiiii muda wake umepita tuendelee kupambana audui wetu ni yuleyule CCM!!

Sasa yeye anazira weeee utadhani demu, CHADEMA si yako tu ni yetu wote, huna uchungu kuzidi wengine!!

CCM kuna watu wamefanya au wanamadudu lakini wanasameana na maisha yanasonga itakuwa wewe Mtoto wa 1980s!!
Please tekeleza wajibu wako kama kiongozi wa chama na kama Mbunge!
Hutaki unapisha vyote (Ubunge pamoja na cheo chamani).

Kibamba hata marudio yakiitishwa asubuhi bila kampeni, CDM inashinda asubuhi tu, Mf. Salum Mwalimu.
 
Haya matusi kwa Mnyika sababu chama kimeuzwa?
 
Mnyika naye ni jipu tu, sema wamemuwahi ulaji kuwa Katibu Mkuu shsuri ya elimu. Nina madudu matatu ya Mnyika. Ni yeye sliyejenga hoja ya kwamva Karume na Nyerere wslifanta kughudhi Hati ya Muungano. Mnyika alikuwacwa kwanza kufukyzwa Bungeni alipoomba mwongozo bunge liache mada zake liongee juu ya BVR machines kumbe ni wao walikuwa wanamhujumu Jaji Lubuva katika kazi yake ili uandikushaji ukwame. Mnyika bado nu kijana - aende shule akasome BA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…