Emmanuel Alden
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 388
- 486
Aende zake huko, mbona na yeye alizungusha mamikono wakati alituandikia makala nyingi nyingi za kumpinga fisadi.Mnyika anachukizwa sana na chama chake kuwa rafiki wa mafisadi na kupinga utumbuaji majipu.
Yupo shule huyo SI unajua shule ilivyongumuWadau wote wa demokrasia na maendeleo tuungane kwa pamoja kupigania haki ya mpambanaji wetu John Mnyika.
Mnyika amekuwa kimya sana tangia ujio wa Lowassa na team yake ndani ya UKAWA. Inasemekana Mnyika akufurahishwa na mapokezi ya Lowassa na team yake kwenye chama na alifanya busara ya kukaa kimya.
Mnyika ni mpambanaji wa ufisadi na amekuwa akiunga mkono mtu yoyote anayewasulubu mafisadi.
Ila kinachosikitisha ni jitihada zinazofanywa kumpoteza kwenye ulingo wa kisiasa na kundi hovu.
Kundi ilo limefanikiwa kumpora nafasi aliyoandaliwa kumrithi Dr Slaa na sasa linaendelea kumzima kwa njia "spiritual" na kimafia.
Wadau tupaze sauti zetu kumlilia Mnyika maana taifa linapoteza hazina muhimu sana sababu ya tamaa za watu za pesa na madaraka.
Tulimpoteza Chacha Wangwe tusikubari kumpoteza Mnyika.
#BringOurMnyikaBack
Tena narudia tena..kadri tunavyosonga mbele vizazi vinavyopenda harakati za kisiasa kwa dhati vinapotea siku hadi siku..siku hizi vijana wanapenda udaku tu.CHADEMA ya akina Mnyika, slaa, Zitto ni sawa na Simba ya akina Okwi, Mafisango na Samatta haiji kutokea tena
kama yeye mwenyewe yupo kimya analia ndani kwa ndani wewe machozi yanakutoka ya nn? akimaliza kulia ndani atatoa kilio chake nje then tutamsaidia kupaza sautiWadau wote wa demokrasia na maendeleo tuungane kwa pamoja kupigania haki ya mpambanaji wetu John Mnyika.
Mnyika amekuwa kimya sana tangia ujio wa Lowassa na team yake ndani ya UKAWA. Inasemekana Mnyika akufurahishwa na mapokezi ya Lowassa na team yake kwenye chama na alifanya busara ya kukaa kimya.
Mnyika ni mpambanaji wa ufisadi na amekuwa akiunga mkono mtu yoyote anayewasulubu mafisadi.
Ila kinachosikitisha ni jitihada zinazofanywa kumpoteza kwenye ulingo wa kisiasa na kundi hovu.
Kundi ilo limefanikiwa kumpora nafasi aliyoandaliwa kumrithi Dr Slaa na sasa linaendelea kumzima kwa njia "spiritual" na kimafia.
Wadau tupaze sauti zetu kumlilia Mnyika maana taifa linapoteza hazina muhimu sana sababu ya tamaa za watu za pesa na madaraka.
Tulimpoteza Chacha Wangwe tusikubari kumpoteza Mnyika.
#BringOurMnyikaBack
Unataka kutuondoa kwenye hoja iliyopo ki pu mba vuWadau wote wa demokrasia na maendeleo tuungane kwa pamoja kupigania haki ya mpambanaji wetu John Mnyika.
Mnyika amekuwa kimya sana tangia ujio wa Lowassa na team yake ndani ya UKAWA. Inasemekana Mnyika akufurahishwa na mapokezi ya Lowassa na team yake kwenye chama na alifanya busara ya kukaa kimya.
Mnyika ni mpambanaji wa ufisadi na amekuwa akiunga mkono mtu yoyote anayewasulubu mafisadi.
Ila kinachosikitisha ni jitihada zinazofanywa kumpoteza kwenye ulingo wa kisiasa na kundi hovu.
Kundi ilo limefanikiwa kumpora nafasi aliyoandaliwa kumrithi Dr Slaa na sasa linaendelea kumzima kwa njia "spiritual" na kimafia.
Wadau tupaze sauti zetu kumlilia Mnyika maana taifa linapoteza hazina muhimu sana sababu ya tamaa za watu za pesa na madaraka.
Tulimpoteza Chacha Wangwe tusikubari kumpoteza Mnyika.
#BringOurMnyikaBack
Itafahamika tu, umenena vema mkuu kama ameshidwa kwenda na matukio aondoke.
Hakuna mkubwa zaidi ya Chama, inshu ya msingi iliyopo ni kupigania Demokrasia issues za Mafisadi ni Outdated.[/QUOTE
no wonder!chadema hii hii iliojipambanua kama kamanda wa frontline vita dhidi ya ufisadi leo inatupa utambulisho wake kirahisi hivi??hata kama haikua na matokeo makubwa walau ile identinty ilikua na heshima.au haya yanasemwa sababu hakuna tena ujasiri wa kukemea ufisadi hadharan sababu mafisadi mliowatukana na kuwavua nguo hadharan leo wanvaa jezi ya timu yenu??kweli muamini mwanasiasa at your own risk!!!
Mkuu mapambano ya ufisadi hayana vyama. Tusikubali dhulma anayofanyiwa Mnyika na mafisadi eti kwa sababu kabaki peke yake ndani ya chama anayepinga ufisadi.Chama cha siasa ni watu wenye interests ambazo LAZIMA ziwe zinashabihiana.
Sasa kama yeye katofautiana na wenzie bado anafanyaje huko?
Anatakiwa ahojiwe na chama chake aulizwe kama bado yuko nao au la kama akisema yuko nao apewe jukwaa awaambie watanzania kuwa Lowassa ni mtu makini,muadilifu asiye na doa.
Akishindwa,atimuliwe mbona Slaa,Zitto wameenda na watu wamesahau tayari.
#JUSTICEFORMNYIKAkama yeye mwenyewe yupo kimya analia ndani kwa ndani wewe machozi yanakutoka ya nn? akimaliza kulia ndani atatoa kilio chake nje then tutamsaidia kupaza sauti
Mkuu Mnyika awezi kuja hapa, amebanwa kila kona. Tuendelee kumuombea, vita ya ufisadi sio lele mama.Kimya kivipi? Hivi hamjui kuwa shughuli zote za kisiasa Kuna jamaa wamekataza??? Bunge halionekani!!!! Sasa mtamuona wapi?
John Mnyika njoo ujibu tujue moja, otherwise kesho nakuja kwako Kibamba
Nadhani umeamua jumapili ufanye kioja. Ingekuwa bora ukakaa na familia yako badala ya kutuletea ungutubange wakoWadau wote wa demokrasia na maendeleo tuungane kwa pamoja kupigania haki ya mpambanaji wetu John Mnyika.
Mnyika amekuwa kimya sana tangia ujio wa Lowassa na team yake ndani ya UKAWA. Inasemekana Mnyika akufurahishwa na mapokezi ya Lowassa na team yake kwenye chama na alifanya busara ya kukaa kimya.
Mnyika ni mpambanaji wa ufisadi na amekuwa akiunga mkono mtu yoyote anayewasulubu mafisadi.
Ila kinachosikitisha ni jitihada zinazofanywa kumpoteza kwenye ulingo wa kisiasa na kundi hovu.
Kundi ilo limefanikiwa kumpora nafasi aliyoandaliwa kumrithi Dr Slaa na sasa linaendelea kumzima kwa njia "spiritual" na kimafia.
Wadau tupaze sauti zetu kumlilia Mnyika maana taifa linapoteza hazina muhimu sana sababu ya tamaa za watu za pesa na madaraka.
Tulimpoteza Chacha Wangwe tusikubari kumpoteza Mnyika.
#BringOurMnyikaBack
Issues za mafisadi ni outdated.Itafahamika tu, umenena vema mkuu kama ameshidwa kwenda na matukio aondoke.
Hakuna mkubwa zaidi ya Chama, inshu ya msingi iliyopo ni kupigania Demokrasia issues za Mafisadi ni Outdated.
Mmiliki wa Richmond ni JK na mnyika hana tatizo na mtu acheni kumpakazia uongo yawezekana ile kamati ya ufundi ya CCM ndiyo inamdhoofisha kimya kimya kuoitia yule mama aliyemshinda kwenye uchakaguzi.Wadau wote wa demokrasia na maendeleo tuungane kwa pamoja kupigania haki ya mpambanaji wetu John Mnyika.
Mnyika amekuwa kimya sana tangia ujio wa Lowassa na team yake ndani ya UKAWA. Inasemekana Mnyika akufurahishwa na mapokezi ya Lowassa na team yake kwenye chama na alifanya busara ya kukaa kimya.
Mnyika ni mpambanaji wa ufisadi na amekuwa akiunga mkono mtu yoyote anayewasulubu mafisadi.
Ila kinachosikitisha ni jitihada zinazofanywa kumpoteza kwenye ulingo wa kisiasa na kundi hovu.
Kundi ilo limefanikiwa kumpora nafasi aliyoandaliwa kumrithi Dr Slaa na sasa linaendelea kumzima kwa njia "spiritual" na kimafia.
Wadau tupaze sauti zetu kumlilia Mnyika maana taifa linapoteza hazina muhimu sana sababu ya tamaa za watu za pesa na madaraka.
Tulimpoteza Chacha Wangwe tusikubari kumpoteza Mnyika.
#BringOurMnyikaBack
Mkuu kumbuka ufisadi hauna chama, tutapambana na mafisadi ata yakikimbilia kusafishwa kwenye vyama na makanisa. Leo kuna watu wanasema ufisadi ni outdated hii Mnyika ndio ataki kusikia.Mmiliki wa Richmond ni JK na mnyika hana tatizo na mtu acheni kumpakazia uongo yawezekana ile kamati ya ufundi ya CCM ndiyo inamdhoofisha kimya kimya kuoitia yule mama aliyemshinda kwenye uchakaguzi.
Kama ulikuwa mfuasi wa kweli ungepaswa kujua kilichomkeep busy mpaka haonekani hata mjengoni.Nilikuwa mfuasi mkubwa wa staili ya siasa za John Mnyika mpaka nilithubutu kumtabiria kwamba kama itatokea Rais akatoka nje ya CCM basi angelikuwa Mnyika. Lakini ghafla Chadema ilipompokea Lowassa, John Mnyika naye alibadilisha staili ya siasa zake, akaja na staili mpya ya Hero to Zero ndani ya Chadema.
Outdated baada ya lowassa na sumaye kuja chadema? Mnawavunja moyo sana wapiganaji kama Mnyika.Issues za mafisadi ni outdated.
Kusoma hakuishagi acha utoto wewe.MNYIKA ana miaka 36 ya kuzaliwa hajamaliza kusoma tu!!