Justice For Mnyika

Nfasi ya Mnyika amepewa Salum Mwalimu ambaye alipaswa kufanya kazi Visiwani. Huu ni mkakati wa Lowasa kuhakikisha kuwa wale wote waliompinga wakati anaingia CHADEMA hawapati nafasi


Lizaboni katika ubora wakeee! Dah! CCM toka lini umpende Mnyika?? Sema umepata nafasi ya kuchangia mbegu yako ya uchonganishi ili kuwafitinisha Chadema. Muda umepita saana mmekosa cha kuchonganisha. Hata huyu mwandishi ni ccm mchonganishi tu. Huna mfano mwingine ni Chacha Wangwe tu? Hao waliopotea huko kwenu mbona huwatolei mfano? Kina Chifupa wako wapi? Kina Komba wako wapi, Kina Mama Mbatia?? Si walikuwa wapambanaji waliozimika ghafla?? Nao tuseme walitolewa muhanga? Jamani, tupa mawe nyumba ya jirani lakini uwe na uhakika na ya kwako.
Mmesha chemsha tena. Mnyika kajituliza zake nyiye kelele ka snura wa chura na chura zake. Mtaongea sana lakini Chadema yazidi kuimarika. Mlisema itakufa kabla ya 2014 leo walioiombea kifo wako wapi?? Jitu la msituni liko wapi?? Endelea Lizaboni
 
Hakuna wakupigania hapa, kama hakufurahishwa na hiyo atoke cdm.
 
CCM WACHONGANISHI SANA!!!

SASA kuanzisha thread ya kumsemea mtu asichokifikiria ndo nini sasa?????
 
Lowassa hataki hata kidogo kufanya kazi na Mnyika uwezi kuwakuta hata wamekaa meza moja.
 
Na hapo ndo shida inaanzia. Cha msingi Mnyika aondoke na aende ACT kama alivyotaka kuungana na ZZK mwaka jana.
Anachokifanya John kwa sasa ni unafiki pia.

Anataka aonekane hafungamani na mafisadi ilhali yuko sebuleni kwao.
 
Nfasi ya Mnyika amepewa Salum Mwalimu ambaye alipaswa kufanya kazi Visiwani. Huu ni mkakati wa Lowasa kuhakikisha kuwa wale wote waliompinga wakati anaingia CHADEMA hawapati nafasi
Chadema chama cha kimagumashi,alitakiwa awe mtendaji na kueneza chama zanzibar,kapiga kambi mwanza,sasa kule zanzibar ofisi kamuachia nani?au kule kuna ofisi ya bpsheni tu ili kutekeleza matakwa ya katiba tu,kwamba ili chama kipate usajili lazima kiwepo bara na visiwani?
 
Nfasi ya Mnyika amepewa Salum Mwalimu ambaye alipaswa kufanya kazi Visiwani. Huu ni mkakati wa Lowasa kuhakikisha kuwa wale wote waliompinga wakati anaingia CHADEMA hawapati nafasi

CDM hakuna mtu mwenye nafasi yake bali kuna nafasi ya cheo fulani, unadhani huku kuna utaratibu wa kukabiadhiana kama ilivyo desturi upande huo kwa nafasi ya uchair?
 
Kama mambo ndivyo na yeye anatakiwa aelekeze mpira huko wanakotaka Chadema. Ni vizuri akajua Chadema ilishahamisha magoli. Ufisadi si hoja tena. ..milango iko wazi Chadema kupokea yeyote, bora aende na mtaji. Wezi wakishafika huko wanatakaswa.
 
Kama hakufurahishwa kwa nini hakusema kwani hana mdomo? Slaa na lipumba walisema.Utampiganiaje kitu mtu ambacho hajasema unaishia kusema inasemekana???!!!!
Slaa na Lipumba waliposema HAJAFURAHISHWA NA UJIO WA LOWASSA ,,SIKU HIZI mnawaitaje?????Ebu acheni UNAFIKI......Tunawaambia ukweli kabsa HIKI CHAMA kisipo chunga VINYWA VENU katu hamuwezi mkawa WAPINZANI BORA ndani ya NCHII HII...afu nyie vijna wa CHADEMA msipende kukumbatia yalio maovu yanayotokea ndani ya CHAMA chenu mjifunze kupaza SAUTI kama wafanyavyo UVCCM...kwa wanaojitambua kabsa na wana mapenzi ya kweli na hiki CHAMA suala la MNYIKA kama mleta uzi alivyouleta hapa LINA MANTIKI SANA...nani asiyetambua umahili wa MNYIKA KATIKA MABUNGE YALIYOPITA???....hIVI KAMA KWELI MNA MAPENZI YA DHATI NA CHADEMA MNAKUBALIANA NA UKIMYA wa aina ya VIJANA KAMA HUYU ndani YA CHADEMA......Hawa ndio aina chache ya VIJANA ndani ya CHADEMA walio na uwezo wa kuiondoa CCM madarakani.....Si ubwatukaji
 
Haya kachukue buku saba yako alafu fanyeni kama kwa Slaa
 

Subiri utakapo kuwa mpinzani 2020
 
Subiri utakapo kuwa mpinzani 2020
Ndio maana tunasema mchunge vinywa vyenu acheni uropokaji......MLISEMA BAADA YA UCHAGUZI HUU CCM ITAKUA CHAMA PINZANI LAKINI WAPI.....jana SUMAYE ana kubali MAGUFULI alichaguliwa KIDEMOKRASIA....mwenzake anasema aliibiwa kura.....YAANI ATUWAELEWI KABSA......
 
mzimu wa zzk ndo unamtafuna tu alimtukana sana lkn saiv zzk ndo yuko juu yake
 
Kuna ukweli hapa ambao umejficha.mnyika yupo chadema kwa sababu siasa n mchezo mchafu,2020 nahc atakuwa ACT Na baadhi ya wabunge wengine wa chadema kama Lissu,Mchungaji.Lowassa kabadlisha system ya chadema kutoka 4- 4 - 2 to 3-5 1.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…